Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,569
Ha ha ha ha ha ha ha mimi sikuiti nabii sababu umesema/umetabiri uongo
Mimi bwana sitaki kuitwa nabii kwa hili kwa sababu nadhani kutokana na uongozi wa kifamilia, na tunaowaita wazee wa CCM wakati wa kutuchagulia rais.
Ila wakati taifa linaingia mikataba mibovu tunasahau kuna watu wazima kwa sababu mafungu ya chai yanafika.
Sasa kutokana na hila za wazee kumkata jaji, najua fika na nasema fika Bernard Membe, baba yake mdogo na Ridhiwani na mdogo wake J.Kikwete ndie Waziri mkuu anayefuata.
Gazeti la Mtanzania mwezi wa kwanza lilisema Magufuli ndo Rais na Paul Makonda kwenye bunge la Katiba alisema Samia Hassani ndio atakuwa Makamu wa Rais, na mimi nasema Benard Membe Waziri Mkuu iwapo serikali ya familia ya Kikwete Tanzania itapita.
Asante.
Team Jamiiforums
Dr Asharose hawezi kuwa sababu hawezi shinda jimbo lolote na PM lazima atoke miongoni mwa wabunge wa kuchaguliwa, pia kumbukeni Membe alishaaga jimboni kwake kuwa hatagombea ubunge hivyo mimi nampa nafasi kubwa Mwakyembe au Muhongo au Lukuvi mmoja wapo endapo atashinda ubunge anaweza fikiriwa but kumbukeni Magufuli hana kundi lolote nyuma yake kulingana na hali halisi ya mchakato hivyo atakuwa na nafasi ya uhuru zaidi wa kufanya maamuzi pasipo shinikizo
dollar?
Shule za siku hizi, lol!