Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
makamba alishawahi kusema kuwa WANAOONA CCM HAIFAI WAONDOKE! NA wewe mkuu hujaitwa cdm!
Huna Sababu za Msingi na Hata wana CDM tunakuchukia sana Hujui tu ..fisadi toka lini akapenda Misingi ya Kupambana na Mafisadi? Baki huko Huko usitie guu CDM!HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU
hii ni hatari ikiwa kibanda anatumia kalamu yake vibaya huku cdm ya mbowe ikikenga meno na kucheklea, sitaki kuona tz ikikkupmbwa na vita kwa sababu ya wachache
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU
.

Chama cha Magamba kimeishaiangamiza nchi vya kutosha au wewe mwenzetu ni kipofuHUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa