Sitaki kuendelea nae ila ananiganda

Mbona na wewe umeshakula mzigo acha kuzingua mkuu...
 
**** thread nyingine ukisoma unajaribu kufikiri ni kwa vipi elimu wanayopewa vijana wetu haiwasaidi kuondoa ujinga, unawasha moto nyumba yako ya nyasi alafu unategemea nyumba izidi kuimarika, kuna vitu ukifanya lazima kuna vitu vitatokea kama natural consequence, Mungu atusaidie.
 
Amiin
 
wenye mimba watamu.....naona kichwani ulikua na kauli hii ndio maana ukaamua kumla
 
muda wote alizingua kaona kaharibu anajileta kwako iweje? shtuka mkuu ukute usingle mother unamnyemelea anaanza tafuta mahali salama..mpotezee kabsa mkuu labda na ww uwe ume umemkubali ivoivo.
Yan mkuu umeongea kama ulikuwepo,dogo anatafuta pumziko maana Jamaa ni kama hana mpango wa ndoa
 
Hahahaha u made ma day bro
 
anasema alitereza mkuu manake kapiga dry chama
Huyo Demu nae mapepe aisee,
Kwa jamaa yake aligongwa kavu mpaka akajazwa,
Kuja kwa mshikaji nako kagongwa kavu vilevile,
Wadada nyinyi jamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…