ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
pole mwaya cha kufanya wewe kaa naye huyo mumeo mweleze kwanini anafanya hivyo? na kwanini alikopa halafu hakukuwambia wewe anakuja kukwambia ulipe wakati wewe wala hujui kuwa alikopa?
kweli wanaume wanaizaya kabisa . Bestito cha kufanya wewe mwombe Mungu akusaidie kipato chako kiwe kikubwa cha kuweza kuilea familia yako wala usiababaishwe na huyo mumeo kwani huwezi mbadiilisha tabia yake ndivyo alivyo ni Mungu pekee ndiye anayeweza mbadilisha kuwa mwombaji na mtumikie Mungu na pigania haki yako mpaka kieleweke