mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,499
- 18,166
Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili ya ndugu zao hata kama ni mabaki ya mifupa waizike.
Huko poland mwaka 1941 kwenye kwenye mji wa vinista ,vikosi vya Nazi vya SS na Gestapo vilikuwa vinaua watu wenye asili ya kiyahudi ndani ya poland kisha na kuwazika kwenye mashamba ya vijijini huko ili kupoteza ushahidi. Lakini maafisa wa ngazi za juu wa Nazi walipofikishwa mahakama ya Nuremberg mwaka 1945 , hawakuamini kile walichokuwa wakikisikia kama ushahidi dhidi yao uliowatia hatiani na kunyongwa.
Hapo Gaza tu baada ya kichapo Heavy kutoka kwa Israel, ilibidi hamas waende Misri kukodi makatapila na ma escavetor nmk kwa ajili yq kwenda kutafuta na kufukua mabaki ya waisraeli waliokufa, wengine walikufa tokea 2014 la sivyo walipuliwe tena kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika juzi tu huku. Trump akishuhudia kama sehemu ya kusitishwa kwa vita.
Hii mifano natoa ni kukumbusha tu kuwa ni jinsi gani watu huthamini damu zao hata kama zimekwisha kufa miaka mia moja iliyopita. Roho za watu huwa kuna mida hugeuka Haunted spirit kama hazijazikwa au kupumzishwa inavyopaswa.
Msitengeneze visasi vya kudumu ambavyo hata mwisho wa dahari lazima vilipwe tu. Labda iwe ni Fantasy tu hizi au Vijidrama (in mama abdel fatah al sisi voice 😎)