Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,514
- 23,701
Duniani kuna wanaume wa aina tatu tu
-Wanaopenda pombe
-Wanaopenda wanawake
-Wanaopenda michezo
Ukiona mwanaume anapenda pombe na michezo basi Hugo atakuwa sio mtu wa wanawake sana
Ukiona ni mtu anayependa sports na wanawake basi huyo kwenye pombe hausiki sana
Tafiti zinasema wanaume wengi wasiokunywa pombe wana upungufu wa akili au hormones za testosterone.
Na wanaume Wenye iQ kubwa ni watumiaji wa pombe
https://www.psychologytoday.com/int...010/why-intelligent-people-drink-more-alcohol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tangaza Rasimi kukuruhusu useme .kama ni hatua iyo ya kufika home bila kujijua..hahahah hatareAcheni ulevi bna.miaka hii kweli unalewa tilalila hujui hata home umefikaje?
Na sisi tunaokunywa Ijumaa tu glass moja.Duniani kuna wanaume wa aina tatu tu
-Wanaopenda pombe
-Wanaopenda wanawake
-Wanaopenda michezo
Ukiona mwanaume anapenda pombe na michezo basi Hugo atakuwa sio mtu wa wanawake sana
Ukiona ni mtu anayependa sports na wanawake basi huyo kwenye pombe hausiki sana
Tafiti zinasema wanaume wengi wasiokunywa pombe wana upungufu wa akili au hormones za testosterone.
Na wanaume Wenye iQ kubwa ni watumiaji wa pombe
https://www.psychologytoday.com/int...010/why-intelligent-people-drink-more-alcohol
Maisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.[emoji18] [emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Wapo ambao hawana hizo tabia hata moja kati ya hizo hapo juu.Maisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.[emoji18] [emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kweli Mkuu.kwani wamenyimwa kunywa?Wapo ambao hawana hizo tabia hata moja kati ya hizo hapo juu.
Bora mwanaume awe mnywaji ila sio mlevi.
Ndiyo hapo, hata mimi mtu mlevi simuwezi!! mtu anywe hata kwa mwezi mara 1 na kwa staha.... sio kila weekend pombe utafikiri ana hisa TBL.Kweli Mkuu.kwani wamenyimwa kunywa?
Nipe mimi ofa, ntashukuru kwa kweli, ila kwa kukusahihisha tu mkuu wanaume wa dar hawasifiki kwa pombe, wenye sifa hiyo wanajulikana, mf kilimanjaro, moshi, ila sio dar mkuuYaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
Kwani hizo tambia mbaya lazima awe nazo?Maisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.[emoji18] [emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Yesu alifanyaje kwenye ile harusi ya kana, alileta mvinyo ulio bora hadi wakuu wakashangaa huu ugimbi baabkubwa nani kaugema, so kunywa kilicho bora mkuu, kunywa maana ni sahihi na ni haki yako.Acheni ulevi bna.miaka hii kweli unalewa tilalila hujui hata home umefikaje?
Maisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.[emoji18] [emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kweli kabisa mkuu, kila mwanaume ana starehe yake, ila ni bora sana mumeo akanywa kapombe maana kuna starehe zingine utakuja kuzijua zikakukwazaMaisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.[emoji18] [emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Huyo mwanaume bado mvulana, under 13Wapo ambao hawana hizo tabia hata moja kati ya hizo hapo juu.
Bora mwanaume awe mnywaji ila sio mlevi.
Usikatae au kubisha ili mradi umebisha.Huyo mwanaume bado mvulana, under 13
..................
Hiyo namba NNE hata maofisini wapo, yaani hatari tupu. Wewe utashangaa boc anaanza kukuwekea vikwazo kama Iran wanavyowekewa vikwazo na marekani. Ukiona Hivyo ujue MTU ameshalishwa maneno.Maisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.[emoji18] [emoji18] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Aisee..embu nichukulie faru john na kmoto kg 1 na ndizi 2. Naamini nikimaliza UTANISAVE badala ya kudelete.Yaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
The problem was not to understand, but usage/intention of that words. As it came to my attention how can be used at per!!!!!!He he heeeeeeee wacha niwe na heko hapaa, , nikuunganishe na Rasi Simba akusaidie kunyumbua??
Khaaaaa wee naye unaniangusha, ule ung'eng'e mbona ulikua unajieleza??[emoji8][emoji39][emoji8]
Nabahat yako uliwah kufunika kamusi nilitaka nikutoe Kwa KO !!! Refa mimi....mchezaji mimi ....shabiki mimi.