Sitaki dawa

Kwa mtaji huo basi, hata nikija siku moja kuanzisha mada kuwa niliwahi kum-date mama wa flani humu na akaniambukiza kisonono, wataamini tu😀😀.
 
Sielewi kitu jamani sasa hiki kinachoua watu ni nini hasa? Nimesha changanyikiwa hawa watoto wote wanaozaliwa +ve na kinga zinashuka shida nini tuelimishe basi
 
Ngoja niulize kishabiki bila kumbeba komredi Nyani Ngabu. Ujana huishia umri gani?

Kama itawezekana na hautàjali kwa upeo wako naomba age limits za.... utoto, ujana, uzee, ukongwe.
Mkuu naona umechkulia post yangu very serious...btw hata mimi sio babu...wayne rooney siku hizi tunamuita babu ila ana 30 au 31 tu....
 
ha ha ha huwa napenda sana unavyokuwa sensitive watu waki guess umri wako....ndio maana wengi wanapenda kukuzingua.....haya bana wewe kijana tu hio 60 wanakusingizia.....
 
ha ha ha huwa napenda sana unavyokuwa sensitive watu waki guess umri wako....ndio maana wengi wanapenda kukuzingua.....haya bana wewe kijana tu hio 60 wanakusingizia.....

Umeumbuka...na umeishiwa la kusema.

Hunijui sikujui.

Kama unanijua taja hapa jina langu na uweke uthibitisho.
 
Umeumbuka...na umeishiwa la kusema.

Hunijui sikujui.

Kama unanijua taja hapa jina langu na uweke uthibitisho.
Kwani kuna sehemu nimesema nakujua? Stori zako humu ndio zinafanya watu wa guess vitu. Kama ambavyo kila siku unapost vibendera vya USA huku ukiimba USA baby watu wanajua uko USA na hawajawahi kukuona au labda kufika huko USA. BTW why are u so sensitive watu wakiguess umri wako? nini cha ajabu? suppose ur not 60 and i say you are 60 unapungukiwa nini?
 
Let me school you.

I don't have a problem with conjecture. Not one bit.

What I do have a problem with are declarative statements.

Do you know what that is? I doubt you do and I'll help you.

Declarative statements are statements that state facts.

Do you know what facts are?

Wewe umesema mimi ni age mate wako....tumejuana wapi hadi useme hivyo wewe?

Au hujasema mimi ni age mate wako?
 
Hapa ngoja nitume na picha kabisa......teh teh
 
Ubaya wangu huwa sijui kuongea sana. Tuishie hapo sitaki kwenda njia unayoenda.
 
Ubaya wangu huwa sijui kuongea sana. Tuishie hapo sitaki kwenda njia unayoenda.

Good.

Hunijui, sikujui. Mambo ya mimi ni age mate wako umeyatoa wapi?

Safari ijayo jifunze na kutokuongea usiyoyajua pia.

Just word to the wise!
 
Good.

Hunijui, sikujui. Mambo ya mimi ni age mate wako umeyatoa wapi?

Safari ijayo jifunze na kutokuongea usiyoyajua pia.

Just word to the wise!
Sitaki kwenda njia unayolazimisha niende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…