Sitaki dawa

@lincanshire hiyo ishu inaukakasi ukifuatilia vizuri kwa sababu hao madaktari wanaopinga ni moja wapo ya watu waliofanya makubwa katika sekta hii ya medical.Mfano kuna yule mgunduzi wa kifaa kinachoitwa PCR ambacho kinatumika ktika kupma viral load anakataa uwepo wa hii ktu(jina la huyo mgunduzi nimelisahau)ila niliwah kufuatlia hli swala.
 
jikeshupa damu ya mama na mtoto haviingiliani mtoto akiwa tumboni hivyo uwezekano wa kuambukiza mtoto akiwa tumboni ni asilimia ndogo sana,mtoto anaambukizwa wakati wa kuzaliwa au kunyonyesha vinginevyo mnaweza mkawa wote + lakin mtoto akawa - hiyo ipo.
 
Story yako leo Mentor !!!!chimboni chafo ...
Siamin na siwez amin
Kama ni uhusik wa story umeuvaa vilivyo
 
Bonge la story sio siri mungu kakujalia kipaji cha uandishi mkuu
 
Nilifanikiwa kumaliza mapema nikatoa nakala kama walivyoelekeza; za kupeleka wizara ya elimu na za kutuma kwa barua pepe.
Hapa tu ndo napata mashaka ya kuamini hii story.. mwaka jana na mimi nili apply kupitia wizara ya elimu na walinigomea wakasema application zinafanyikia TCU.. sio kwamba umetunga mkuu? Tayari siiamini hii story... umejitahidi sana ila sehemu ndogo sana imekukamatisha...😀😀😀😀
 
Heri mimi mshamba,kama hera ya mboga ninayo lakini najitembeleaga na mafuta ya mgando kwa ajili ya kujichua niwe popote pale gest,chumbani kwangu.
 
Mwaka jana zilitoka scholarships mbili ambazo zilifadhiliwa/zote ziliitwa Commonwealth Masters Scholarships.

Iliyotoka mwanzo ilikuwa ufadhili kwa ajili ya kwenda kusoma South Africa. Hii ndiyo submission yake ilifanyika wizara ya elimu.

Siku ninapeleka fomu zangu Wizara ya Elimu, aliyezipokea aliniambia wiki inayofuata niangalie website ya TCU nitakuta nyingine bora zaidi ya ile niliyo apply.

Na hii ya pili (ambayo ndiyo niliyoipata) ni kweli fomu tuli submit TCU.

Am sorry for the mix up. #sitakidawa
 
Na usitake dawa tu...
Vipi lakini ulishagundua kuwa Amina alikuwa analala ofisini?
umegusa miyoyo ya watu...
 
Bro kama una nia ya kusaidia wenzako basi walau fungua thread nyingine uweke list ya wadada walio enjoy upanga wako ukatao kuwili
 
Sasa kama uli apply hiyo ya South Africa pale wizara ya elimu how come kwenye story yako nimekutana na hii statement?... "Nilipewa majibu kuwa nimechaguliwa pamoja na wenzangu wawili kwenda Uingereza....."

Halafu kama ni kweli sasa kwanini kwenye story nzima hatujaona neno commonwealth scholarship south Africa?

Halafu sio tu kwamba unachanganya mambo ila hata procedures za kuapply commonwealth scholarship za south Africa kwa ulivosema mwanzo kwamba ulikamilisha taratibu zote za kutuma online unanipa mashaka kidogo maana hiyo platform ya kuapply common wealth scholar. naifaham na sijaona sehem ambapo kuna destination ya scholar. za S.A kwa mwaka jana.. so thats a lie...

Kuna falacies nyingi sana kwenye bandiko lako sema kwasababu nna usingizi napata shida kuzibainisha zote.

Halafu ni vile tu hatufahamiani ila nimedevelop natural intelligence ya kugundua validity ya statement ambayo nakuwa naisoma. Ni kitu kilichojijenga kwenye maisha yangu na nilishaapa hakuna uwongo unaoweza kupita mbele yangu salama... Ndo mana mi nilivokuwa school watu walikuwa wananichukia sana maana i was always crash with facts...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…