Sitaki dawa

Mbona hueleweki kaka. Kwani HIV iko africa tu dunia nzima. Maana Europe, Asia, Australia, US kote kuna HIV na watu wanakufa..........so unaposema immune za Africans haziko sawa. what abt nchi zingine watu wanapokufa na huo ukimwi. Acha kutoposha watu. Kama unatafuta umaarufu au kupiga hela. Piga kimya kimya na Sio kupotosha watu. Na kama unatafuta watu wa kuwatibu nakushauri nenda ma hospital huko ilala, mwananyamala, muhimbili nenda kawaokoe kuna wagonjwa kibao wako desparete watakusikiliza
 
Mentor katika ubora wake nimeisoma ikanikumbusha Verrosa story........asante kwa bandiko hili nitaprint niwapatie vijana wangu......hongera sana kwa kusaidia vijana wajitambue na wasifanye makosa ambayo itakuwa ni majuto kwao milele.....
Kumbe umeona nilichokiona. Huwezi kupata habari ngumu ya hivi halafu ukawa so composed na kuandika simulizi la namna hii. Ila Mentor umeona watu wameanza kupakaziwa sasa, naamini hukulenga kuleta mtafaruku huo.
 
Akina nani hao?
 
HUMBLE REQUEST: Sijaomba mnipe pole lakini jamani mbona tunatukanana? Why abuse me lakini?

Nisameheni kwa kukosea kushare my story but I wanted people to know. Its not fair kuja PM na kunitukana wakuu.
Wala hujakosea kushare nasi Mentor ulichofanya ni kitendo cha kishujaa. Anaekutukana na kukudhihaki kwahili Mungu atashuhulika nae.
 
Kuna watu wamekosa utu kabisa yani. Hakuna aliemsafi ila tu wepesi sana kuhukumu na kunyoosha vidole kwa wengine as if tu watakatifu sana. Lakini hakuna shida kama Mungu aishivyo haki yao wataipata
 
Kumbe umeona nilichokiona. Huwezi kupata habari ngumu ya hivi halafu ukawa so composed na kuandika simulizi la namna hii. Ila Mentor umeona watu wameanza kupakaziwa sasa, naamini hukulenga kuleta mtafaruku huo.

tusubiri tutapata anachotaka wanajamii kujifunza......mmmhh kupakaziana tena je akijasema ni hadithi mambo yatakuwaje?
 
HUMBLE REQUEST: Sijaomba mnipe pole lakini jamani mbona tunatukanana? Why abuse me lakini?

Nisameheni kwa kukosea kushare my story but I wanted people to know. Its not fair kuja PM na kunitukana wakuu.
Sasa mkuu nawewe inavyosemekana ni mtu wa stori.labda hawaamini ulichokieleza hapa wanafikiri ni kama kawaida yako. By the way we wapotezee tu mkuu panga mipango yako ya baadae.
 
Mkuu huyu jamaa ni hatari sana yani anakomaa kabisa kutuaminisha kama kikombe cha babu vile.
 
Daaah....... So sad asee... Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hichi kigumu kwako!

Pole sana Mentor
 
Mkuu huwezi kuwa na hoja bila ya kuwa na facts. Hili la wa wazazi kuwa HIV negative na mtoto kuwa HIV positive haliwezi kutokea. Uzuri siku hizi technology inatusaidia kutafuta hivi vitu mtandaoni kirahisi na juhudi zangu mpaka sasa hivi za kutafuta uwezekano wa hili kutokea sijaambulia chochote Mkuu.

Kuna nyuzi nyingi,zingine zina page hadi 100,za deception zitafute...nazani ana hoja
 
Ikiwa hivyo itakuwa bomba sana, huu ugonjwa huwezi hata kumuombea adui yako. Watu wanaishi siku hizi tena kwa miaka mingi tu huku wakiwajibika na shughuli zao za kila siku, pamoja na hayo ugonjwa huu bado unatisha.

Tulia tu.

Soon utamuna Mnetor hapa anakuja na bonge la story jingine, na main character atakuwa ni yeye yule yule
 
Eeh mungu wangu,niepushe na huu ugonjwa mana nauogopa kupita kiasi.lakini mungu wangu ntafanya nn ikiwa mm ni mke niliyetulia kwny ndoa yngu na sielewi mwenzangu anafanya nn huko???nakutegemea ww mungu wa haki unilinde.kaka mentor pole sana jaribu kujiunga kwny club za walioathirika pengine utapaja namna nzuri ya kuishi.pole sana bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…