Sitakaa nimuamini tena mwanamke

Sitakaa nimuamini tena mwanamke

sasa kam akili zako zimeishia hapo kuona wanawake wote sawa sasa sie tukushauri nini au tuseme nini?? endelea kusimamia hisia zako na kuamini unachokiamini
Kumwamini mwanamke ni sawasawa na kumwekea dhamana Maasai ambae hana nyumba wala makazi yoyote ya kudumu hapa mjini. Yeye anamiliki sime na shuka lake (mogolole) tu.
 
"...hakuna mwanamke anayetaka kuaminiwa na mwanaume, ni kosa la kifikra kwa wanaume wanaotazama mahusiano kama mkataba.... "

Anonymous
 
You are too young to curse.... Jipange anza upya.

Usiingie miguu yote miwili kijana. Kumbuka mmekutana ukubwani... Ndo unakomaa sasa.

Love is sweet.
 
kuna sehemu ulikosea ukae naye 4yrs usimpe mimba jamaa show moja tyu kampa
 
Usimwamini mwanamme kamwe anaweza kukucheat muda wowote na kukuacha na ukimuuliza anakwambia wewe nenda usinipangia maisha yangu na maamuzi yangu hivyo ukiambiwa unapendwa ingia mguu 1 mwingine uache nje kuepusha pressure mwamini mama aliye kuzaa kuliko hawa tunaokutana ukubwani.
 
Jichunguze kaka wengine mnazidi ubahili lazima uachwe
 
Usiamini kiumbe chochote , ni hivi jiamini hili uaminiwe hiyo ndio njia pekee.maana ukijiamini kila mtu atajua unajiamini basi na wewe utaaminiwa. Lakini ukiwa na mwanamke then ujiamini basi tegemea hayo maumivu tuu. Chukulia mfano ma Play boy . Wanajiamini sana ndio maana leo anaachwa na huyu kesho yupo na mkali zaidi tena unaweza kukuta hata rafiki ya huyo alimuacha ndio kamchukua yeye.Njoo katika Chama cha wakujiamini hayo maumivu utoyasikia ndugu. Tena ndio utapapatikiwa na kila warembo wazuri wakijua wewe ni Kujiamini toa hii inaingia hii inaondoka hii inakuja hii.
 

una umri gani na yeye umri gani
mlikutana wapi
elimu zenu zikoje
ulikuwa unampa kila kitu alichotaka au excuse zilikuw nyingi
 
Usimwamini mwanamme kamwe anaweza kukucheat muda wowote na kukuacha na ukimuuliza anakwambia wewe nenda usinipangia maisha yangu na maamuzi yangu hivyo ukiambiwa unapendwa ingia mguu 1 mwingine uache nje kuepusha pressure mwamini mama aliye kuzaa kuliko hawa tunaokutana ukubwani.
Haya mambo sio wanawake tu hata wanaume pia wapo tusihukumu upande mmoja..... Na huwezi jua huyo dada aliona vitu gani kwa huyo mwanaume ikabidi tu achukue maamuzi, wanawake wengi huwa hatuwezi kuongea hata tukiona hapa no future huwa tunafanya maamuzi kimya kimya tofauti na nyinyi huwa mnajionyesha waziwazi
 
Mkuu pole sana hao viumbe si wamchezomchezo wakiamua kufanya yao huwa hawaogopi kitu na wala hwatak kukumbuka walipotoka .so ukimpata mwingine ishi naye kwa akili sana.
 
Nadhani jina lako mtoa mada linaanzia na herufi I
 
Pole sana. Ishi nao kiakili kwa dunia ya sasa hutakiwi kumuamini binadamu labda mama yako tu. Fikiria ikiwa watu wanavunja sheria za serikali na kufanya vitu vilivyokatazwa atawezaje kujizuia na tamaa za dunia na hata si kosa kisheria yaani ni ww tu ndio tuseme hutapenda...ukilijua hili unaenda nao vizuri na maisha yanaenda vizuri. Wapende wengine ila ujue lolote lawezekana.
 
Nishawah kipitia situation kama yako miaka kadhaa iliopita nikaishea na bint mmoja wa kimarekan anipe ushaur what she told me is what am telling you aliniambia that is puppy love sikumuelewa nikazama google nikakutana na hii kitu kitoka Wikipedia
Puppy love (also known as a crush, calf love or kitten love) is an informal term for feelings of love, romance, or infatuation, often felt by young people during their childhood and adolescence.[1] It is named for its resemblance to the adoring, worshipful affection that may be felt by a puppy. It may also be able to describe short/long-term love interest.
 
Back
Top Bottom