The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,457
- Thread starter
- #41
Thanks my brother me too sikuwahi kuwaza hivi but ime happen daahUkweli mkuu mapenzi yanaumiza sana na ninatubutu kusema hayo kwasababu nimeshatimiza wiki 4 tangia niachwe na mwanamke niliyempenda na kumuamin kwa kila kitu na sikuweka siku kwamba atathubutu kunitamkia neno "mimi na weww mapenzi basi" lkn nimevumilia na sasa nimeshaanza ku- recover tena nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwanamke mwengine.
DON'T GIVE UP My brother