Sitakaa nimuamini tena mwanamke

Sitakaa nimuamini tena mwanamke

Aliekwambia mwanamke anaamiwa nani,??
ila mwanamume anaaminiwa sio?? wakuaminiwa ni mama mzazi tu ikiwa alikuwek tumboni miezi 9 akakuzaa kwa uchungu na kukulea kwa umakini hadi ukakua basi hawezi kukudhuru wala kukuumiza
 
Ukweli mkuu mapenzi yanaumiza sana na ninatubutu kusema hayo kwasababu nimeshatimiza wiki 4 tangia niachwe na mwanamke niliyempenda na kumuamin kwa kila kitu na sikuweka siku kwamba atathubutu kunitamkia neno "mimi na weww mapenzi basi" lkn nimevumilia na sasa nimeshaanza ku- recover tena nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwanamke mwengine.
DON'T GIVE UP My brother
 
Akili yako ya kuzaliwa na si ya vijiweni ni muhimu sana unapokuwa na mwanamke,
Si unaongozwa na miyeyuko ya kijinga utakuja kujinyonga bure!
 
Wakuu nilkua na binti tena nlkua nampenda sana kwa moyo Wangu wote
Amenisaliti na kapigwa mimba juu tulikua tumepanga mengi mazuri hapo mbeleni sasa yote hayo yameenda na maji

Am totally frustrated wanawake mtu akikupenda mpende ila nashukuru am a man na I will stand like a man

Nilichoamua Mimi sitokaa nimwamini mwanamke na now days wadada I look them like trash sina mapenzi nao tena moto Wangu umekufa ganzi.
Tatizo wanaume mkiumizwa mnapenda kulalamika sana kwenye kadamnasi nyie mnafikiri wanawake hawaumizwi? Mwanamke akiumizwa hulia nakuugulia kifuani baada ya hapo anasonga mbele wanaume niwengi sana wanaumiza k sana anaweza mwambia k ngoja nimalizie kusoma nikirudi tunaoana siku akirudi ni anamchumba au mke kabisa hapo kapata msomi mwenzie mwenzangu namimi mshamba umeachwa njia panda uliowakataa walisha oa unabaki kujuta hivyo si wanawake bali wanaume mnatamaa sana.
 
Ukipiga msawaki,edit post yako!
Usiandike kama form6 leavers,kipi kigeni hapa jombaa?
 
Tatizo wanaume mkiumizwa mnapenda kulalamika sana kwenye kadamnasi nyie mnafikiri wanawake hawaumizwi? Mwanamke akiumizwa hulia nakuugulia kifuani baada ya hapo anasonga mbele wanaume niwengi sana wanaumiza k sana anaweza mwambia k ngoja nimalizie kusoma nikirudi tunaoana siku akirudi ni anamchumba au mke kabisa hapo kapata msomi mwenzie mwenzangu namimi mshamba umeachwa njia panda uliowakataa walisha oa unabaki kujuta hivyo si wanawake bali wanaume mnatamaa sana.
Etieee Naona kuna umuhimu wa kuwa na mahakama ya mapenzi haiwezekani tukaumizana namna hii
 
Wakuu nilkua na binti tena nlkua nampenda sana kwa moyo Wangu wote
Amenisaliti na kapigwa mimba juu tulikua tumepanga mengi mazuri hapo mbeleni sasa yote hayo yameenda na maji

Am totally frustrated wanawake mtu akikupenda mpende ila nashukuru am a man na I will stand like a man

Nilichoamua Mimi sitokaa nimwamini mwanamke na now days wadada I look them like trash sina mapenzi nao tena moto Wangu umekufa ganzi.
Hahaha wewe kabisa na kuonywa kote kwenye biblia unamwamini mwanamke?? Ni yule wa kigamboni au??
 
Back
Top Bottom