Sitakaa nilale na mke wa mtu

Sitakaa nilale na mke wa mtu

Swali zuri sana. Nimeongelea mke wamtu kwa sababu ndio tatizo ambalo ni kubwa sana kwa sasa, na imekua ni kama fashion kwa vijana wanaume kutembea na wake za watu.

Ila kwa wadada kutembea na waume za watu bado haijawa fashion? umefanya research yako vizuri?
 
Kongosho unajua sitanii vile. Sio tabia nzuri hiyo acha kabisa kama unayo.

Kama hajaolewa sawa si atakuja kuwa mke wa mtu akiolewa baadaye? utakuwa umetembea na atakeyekuwa mke wa mtu. cha msingi ni kuwa na wako tu.
 
Mabazazi utayajua tu kwenye hii thread!..ngoja nipite hvii...
 
Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.

Guys, kuna wanawake wengi sana hawajaolewa, please usitembee with somebody's wife. Tujaribu kujiweka mbali na hawa wake za watu, tusiishie kuwalaumu wao maana wao ni viumbe dhaifu na ni rahisi kudanganyika. Naona watu huku maofisini anamdanganya mke wa mtu wanaenda kunywa alafu anamfanya hata kwenye gari alafu kesho yake anajitangazia anaona ni ufahari.

Huyu mwanamke hakukubalia kwenda na wewe ili mfanye mapenzi, alikukubalia tu kwa sababu alikuamini kuwa wewe ni rafiki na mfanyakazi mwenzake hivyo atakua safe. Please heshimuni ndoa za watu.
Hujajua utamu wake wewe,siyo wasumbufu kama wasio na waume.Yaani unajiwekea gear ya free au neutral unateremka
 
Uko sawa kabisa, kwenye swala la kusex maamuzi makubwa yako mikononi kwa mwanaume na si mwanamke. Hata utafiti ulionyesha asilimia kubwa ya wanawake hubakwa, wanagegedwa bila ridhaa yao, wanakubali tu kishingo upande mradi yaishe.

We acha uongo. Tukikubali huwa tayari tuna mahesabu kichwani. Hujasikia humu wanalalamika wamenyimwa unyumba na wake wao. Hapo kwa kifupi, tunajua sana tunachotaka. Mwanamke hata kama anagawa sana bado kuna 100 atakuwa amewakatalia nyie ndo hizo zipu zenu hazina macho.
 
Wanataka wenyewe kugegedwa c utamaduni we2 kwa mke wa m2 kukubali kinyemela kupewa fa na asiekuwa mume wake
Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.

Guys, kuna wanawake wengi sana hawajaolewa, please usitembee with somebody's wife. Tujaribu kujiweka mbali na hawa wake za watu, tusiishie kuwalaumu wao maana wao ni viumbe dhaifu na ni rahisi kudanganyika. Naona watu huku maofisini anamdanganya mke wa mtu wanaenda kunywa alafu anamfanya hata kwenye gari alafu kesho yake anajitangazia anaona ni ufahari.

Huyu mwanamke hakukubalia kwenda na wewe ili mfanye mapenzi, alikukubalia tu kwa sababu alikuamini kuwa wewe ni rafiki na mfanyakazi mwenzake hivyo atakua safe. Please heshimuni ndoa za watu.
 
Eiyer umbuje,alinifukuza parokiani kwake kisa nimemwambia wewe ndio paroko wa ukweli,kolig akamwambia ole wake!!!!

Heee umbuje..mbona makubwaa..koligi ana mambo halafu siku hizi hata hanifundishi maths ananiawacha nifeli?? snowhite?
 
Last edited by a moderator:
nahic kama kuna katukio kadogo kamekupata na umenusurika...
 
Back
Top Bottom