Sitakaa nilale na mke wa mtu

Sitakaa nilale na mke wa mtu

We bana usijifanye unajua sana akili ya wanawake!
Unankeeerah!
Hii namna yako ya kuandika inaudhi kwa kweli!

Sioni tatizo labda kuna kitu sijakuelewa. Naona kama unapanic
 
wewe acha ushamba mke wa mtu kwani kaandikwa jina la mumewe kwenye kigegedo chake? We mega tu sema ki aina ukishtukiwa utajuta kuzaliwa ni PM nikupe tricks za jinsi ya kuhujumu mali ya mtu
 
Nimekuelewa The Boss, mfano mimi nimeshapata sana haya majaribu. Lakini kwa sababu nilishaiweka akili yangu kuwa mke wa mtu siwezi basi huwa nachomokaga kwenye hii mitego. Kumbuka pia mwanaume kama hutarespond na sign za mwanamke, hutaweza kamwe kumgusa maana mwanamke pia anakusoma sign unarespond vipi kwake.

Vipi kuhusu mme wa mtu, ye ni halali kutumiwa na mwanamke awaye yote???
 
Njia kuu yako ndo michepuko ya wenzio....Kalaghabao
 
Vipi kuhusu mme wa mtu, ye ni halali kutumiwa na mwanamke awaye yote???

Swali zuri sana. Nimeongelea mke wamtu kwa sababu ndio tatizo ambalo ni kubwa sana kwa sasa, na imekua ni kama fashion kwa vijana wanaume kutembea na wake za watu.
 
wewe acha ushamba mke wa mtu kwani kaandikwa jina la mumewe kwenye kigegedo chake? We mega tu sema ki aina ukishtukiwa utajuta kuzaliwa ni PM nikupe tricks za jinsi ya kuhujumu mali ya mtu

Nimabie kwa nini mke wamtu wakati kuna wasichana wengi tu ambao hawajaolewa. Na mbaya zaidi mwanamke anakua anasumbuliwa sana pindi tu akiingia kwenye ndoa, as if watu walikua wanasubiri aolewe kwanza.
 
Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.

Guys, kuna wanawake wengi sana hawajaolewa, please usitembee with somebody's wife. Tujaribu kujiweka mbali na hawa wake za watu, tusiishie kuwalaumu wao maana wao ni viumbe dhaifu na ni rahisi kudanganyika. Naona watu huku maofisini anamdanganya mke wa mtu wanaenda kunywa alafu anamfanya hata kwenye gari alafu kesho yake anajitangazia anaona ni ufahari.

Huyu mwanamke hakukubalia kwenda na wewe ili mfanye mapenzi, alikukubalia tu kwa sababu alikuamini kuwa wewe ni rafiki na mfanyakazi mwenzake hivyo atakua safe. Please heshimuni ndoa za watu.

Sasa wewe si mume wa mtu? na wasioolewa wanasema mume wa mtu sumu kwa hiyo JAWABU BAKI NA MKE WAKO usiangalie pembeni.
 
Uko sawa kabisa, kwenye swala la kusex maamuzi makubwa yako mikononi kwa mwanaume na si mwanamke. Hata utafiti ulionyesha asilimia kubwa ya wanawake hubakwa, wanagegedwa bila ridhaa yao, wanakubali tu kishingo upande mradi yaishe.
Unamzungumzia mwanamke yupi?
Rudi kafanye utafiti tena
 
Umeandika kama vile wanawake ni watu Flan hawana maamuzi!
Hawajui wanachofanya
Hawana utashi.
Wa kufanya tu kile anachoamua mwanaume
Hawana misingi na misimamo yao binafsi
Pheeeeeeeewh!

Kama kifurushi kinachosubiri kusogezwa tu au bendera fata upepo,atutake radhi.
Nakukosa koligi!!!
 
Ila kwa kweli mke wa mtu hana gharama...wala hakusumbui usiku na mi meseji ya kijinga kwa kuwa nae anachungwa....! anatoka kwake kesha kula ugali na samaki....anachotaka ki "bano tu"!! Lakini jihadhari sana...ukipiga mara moja usirudie tena...kama una uwezi wa kujibana piga hata mara mbili tu...then baasi!! Ukiendelea mwisho wake ni mbaya mnoo!! MWISHO LAKINI MUHIMU KULIKO YOTE UZINZI NI DHAMBI!`
 
Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.

Guys, kuna wanawake wengi sana hawajaolewa, please usitembee with somebody's wife. Tujaribu kujiweka mbali na hawa wake za watu, tusiishie kuwalaumu wao maana wao ni viumbe dhaifu na ni rahisi kudanganyika. Naona watu huku maofisini anamdanganya mke wa mtu wanaenda kunywa alafu anamfanya hata kwenye gari alafu kesho yake anajitangazia anaona ni ufahari.

Huyu mwanamke hakukubalia kwenda na wewe ili mfanye mapenzi, alikukubalia tu kwa sababu alikuamini kuwa wewe ni rafiki na mfanyakazi mwenzake hivyo atakua safe. Please heshimuni ndoa za watu.

Bolded words: Yani Mungu akupiganie usitembee na wake za watu ila akusaidie utembee na wasio wake za watu! I don't blem you maana wapo miungu wengi na sio huyu Muumba mbingu na nchi!
 
Endelea na moyo huo na msimamo wako usije badilika
 
Back
Top Bottom