Watamu hao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Asikwambie mtu.Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.
Guys, kuna wanawake wengi sana hawajaolewa, please usitembee with somebody's wife. Tujaribu kujiweka mbali na hawa wake za watu, tusiishie kuwalaumu wao maana wao ni viumbe dhaifu na ni rahisi kudanganyika. Naona watu huku maofisini anamdanganya mke wa mtu wanaenda kunywa alafu anamfanya hata kwenye gari alafu kesho yake anajitangazia anaona ni ufahari.
Huyu mwanamke hakukubalia kwenda na wewe ili mfanye mapenzi, alikukubalia tu kwa sababu alikuamini kuwa wewe ni rafiki na mfanyakazi mwenzake hivyo atakua safe. Please heshimuni ndoa za watu.
Najijua napenda sana wanawake, lakini sijakaa maishani kwangu kufikiria kutembea na mke wamtu. Namuomba Mungu aendelee kunipigania kwa hilo. Nimeshakutana vishawishi vingi sana.

Wala sitaki kukuona......lol!!!!!
Hamna mume au mke wa mtu anapenda kuchepuka. kuna mazingira hutokea inafanya iwe hivyo tu. mazingira mengine ya msingi, mengine ya kipuuzi. mleta mada ukiifikiria ndoa kwa mapana na marefu, yapaswa umuombe Mungu sana akusaidie