...Sitafuti tena mfanyakazi wa ndani....

We umepata watano unafukuza wakati mimi nimetafuta miezi mitano imepita sijapata binti wa kazi, hebu niunganishe na huyo wa kwako usisubuli aondoke nipe mimi namuhitaji mkuu
 
Some tym miezi2 sipo
mmmhh boss unaua mapenzi polepole jtahidi kuiweka sawa ratba ya biashara ukiweza pata msaidiz huko ili uwe na mda wa kuwa kwako Mara kwa Mara kutafta kwako kusiwape mateso wakupendao aisee!!! Naviona tu visa vya shemela sio vya mchezomchezo jarbu kuliangalia kwa jicho pevu kidogo kwani shida sio mkeo ila usalama wa mkeo ndio anaouangalia zaidi kumbuka unampelekea wanawake wenzie ambao kwa namna yoyote paranja likitokea hawamsaidiii.....
 
Naoa coz nimeplan kitambo @ lengo wawe wanne ...na wote nataka wawe maeneo ninayotembelea sana iwe rahisi kupata huduma...
yeah..oa,zinaa mbaya..na iweje ufuge manii bila sababu za msingi
 
Moja kwa moja kwenye mada,mke wangu wa pili bi mdogo ni mfanyabiashara ya nguo,ana duka lake anatafuta maisha.
Alivyojifungua niliamua kutafuta binti wa kazi amsaidie kazi na kulea pia.

Changamoto ikaibuka wife anatuma km mjerumani,kugoma bila sababu,nimejitahidi kumwelekeza bado hali ileile.
Ndugu wana jf mpaka sasa mtoto ana miaka 2 tumebadili mabinti wa kazi5 uwezi amini.

Sasa tumepata binti mwingine wa6 kutoka Kilimanjaro.. Ni mpole,mchapakazi,hizi sifa zote ananiambia yeye,coz ci mkaaji wa nyumbani nachukua hata mwezi siko nyumbani.

Leo nimerudi nimekuta hajaacha tabia yake ya kutuma na kugoma ..hii tabia inapelekea mabinti kuondoka.
Naona dalili tutarudi kulekule nimeapa moyoni SITAANGAIKA TENA.

Nyie wamama mnatupa wakati mgumu mda mwingine nakwepa kuingilia sana hisije ikaleta shida zaidi ila napata uchungu km mzazi.

Wamama badilikeni.

NB:Nimeshamwelekeza wife Mara nyingi aelewi..nasubiri aondoke ataisoma namba,akitaka afunge duka..
Kutuma na kugoma, unamaanisha nini?
 
Hawa wanaume wanatuonaga nuksi sana likija suala la wadada wa kazi.

Lakini mnasahau kwamba sisi ndo tunashinda nao kwa hiyo ujeuri na mengine tunafanyiwa sisi. Sisi ndo tunawafundisha kazi.so tunajua mapungufu yao yako wapi. Mpaka tunafika kuwashtakia ujue tumechoka.

Kingine akili zao ni kwamba Baba ndie anawalipa mshahara so wana nidhamu kwa wababa wa familia. Mara chache sana utasikia wanalalamikia Wababa kwenye familia.
 
Moja kwa moja kwenye mada,mke wangu wa pili bi mdogo ni mfanyabiashara ya nguo,ana duka lake anatafuta maisha.
Alivyojifungua niliamua kutafuta binti wa kazi amsaidie kazi na kulea pia.

Changamoto ikaibuka wife anatuma km mjerumani,kugoma bila sababu,nimejitahidi kumwelekeza bado hali ileile.
Ndugu wana jf mpaka sasa mtoto ana miaka 2 tumebadili mabinti wa kazi5 uwezi amini.

Sasa tumepata binti mwingine wa6 kutoka Kilimanjaro.. Ni mpole,mchapakazi,hizi sifa zote ananiambia yeye,coz ci mkaaji wa nyumbani nachukua hata mwezi siko nyumbani.

Leo nimerudi nimekuta hajaacha tabia yake ya kutuma na kugoma ..hii tabia inapelekea mabinti kuondoka.
Naona dalili tutarudi kulekule nimeapa moyoni SITAANGAIKA TENA.

Nyie wamama mnatupa wakati mgumu mda mwingine nakwepa kuingilia sana hisije ikaleta shida zaidi ila napata uchungu km mzazi.

Wamama badilikeni.

NB:Nimeshamwelekeza wife Mara nyingi aelewi..nasubiri aondoke ataisoma namba,akitaka afunge duka..
Yaani mwez hauko nyumbani? Utasaidiwa mzee baba
 
Unakosea sheikh muachie hiyo kesi. Atafute yeye na afukuze yeye.
 
Mambo ya binti wa kazi muache mama mwenyewe ashughulike nayo kuanzia kumtafuta wewe labda umlipe tu, otherwise utachizika
 
Kufoka,kugoma ni neno linatumika sana kwetu pwani naamini hata bara wanatumia...au nyie amtumii mbuzi kagoma kwenda
We, acha lugha za hovyo. Mbuzi kagoma kwenda maana yake nini? Ntakulima ban si muda mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom