4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,521
- 13,381
Naenda kuandamana kumtoa huyu mamaSitaandamana D9. Asanteni
Manzese unamtoaje?Naenda kuandamana kumtoa huyu mama
Huyo ndio amebeba akili za manyumbu wengi.Akiwaamuru vinatoka kama kumbikumbi.Tarehe 29 October kulikuwa na Uchaguzi hivyo ilifanyika staha.Watoke tarehe 9 Dec ndio watajua hawajui.Mange kimambi asitufanye wajinga, ingekua tundu lissu sw, lakini Malaya Mange juzi tu alikua anauza udaku na picha za uchi
Usijichomoe betri Bro nadhani umesikia namba moja alichozungumzaShehe Sharif Majini alisema hivyo hivyo ila kabla siku haijaisha kmkm na polisiccm walimla kichwa
Dawati la siasa hapo teeth mmeanza kutafuta takwimu eeehSitaandamana D9. Asanteni
Kazi Itakua kubwa sana. Lazima vijana wachezee risasi za kutoshaBaada ya kusikiliza hotuba ya mama kuandamana ni suicide mission, binafsi sitoandamana.
Oya weee watakuoteaMimi nitaandamana kisha usiku narudi kukunyandua huku nikiwa na furaha baada ya kuiokoa nchi.
Mkuu, bora waniue kwa ajili ya TanganyikaOya weee watakuotea
Duuuh kwahiyo saizi si Tanzania tena ni TanganyikaMkuu, bora waniue kwa ajili ya Tanganyika
Yeah, ni Tanganyika ndiyo maana tuatoka tarehe 9 December yaani siku ya kumbukizi ya kupata uhuru wetu wa bendera.Duuuh kwahiyo saizi si Tanzania tena ni Tanganyika
Sije ukazamia juu ya dali🤣🤣Yeah, ni Tanganyika ndiyo maana tuatoka tarehe 9 December yaani siku ya kumbukizi ya kupata uhuru wetu wa bendera.
Uhuru kamili unakuja soon.
Hapana sifanyi hivi mkuu.Sije ukazamia juu ya dali🤣🤣