Sitaacha kuisemea Bulyanhulu hata kama nitawaudhi

Ebu ngoja nikae kwa hapa, labda nitaelewa badae baada ya comments kuongezeka.

Sawa, sote tunatambua sakata la yalio jiri Bulyanhulu kuanzia mwaka 1996. Sasa ndio ungesema nini unahisi hakikufanyika na nani alie sababisha?

Baada ya hapo ungependekeza nini unadhani kifanyike na unadhani ni jukumu la nani kutimiza hilo pendekezo lako?
Ukimsoma vizuri tena kwa utulivu utapata majibu ya maswali yako na nini anataka pia utaona, nani afanye pia kamgusia
 
Ng'wanapagi,
Mie nashindwa kuelewa, ni ujinga au ni upumbavu, Leo kuna wachimbaji wadogo msalala yote kuanzia namba moja hadi namba tisa, mwakitolyo mwabomba bulyanhulu mwakitobelo ukitoa mifuko kumi mmoja ni ushuru na mfuko mmoja unauzwa kati ya laki nane na million moja, beleshi moja linauzwa laki mbili, pesa inakwenda wapi?

Badala ya kuhoji hayo unaanza kuhoji mbona chatto ina taa za barabarani? uliambiwa halmashauri ya chato haina uwezo wa kununua taa za barabarani? Kuna mradi wa maji kutoka karumwa kwenda msalala mabomba yametelekezwa kwenye store za pamba, hakuna anayehoji. Shenzi zenu.
#wajingaSISI au?
 
Nimezaliwa na kukulia huko hata nikifa naamini taletwa kuzikwa huko. Huko ndiko ndugu, marafiki na watoto wangu wanaishi.

Naifahamu Bulyanhulu hata kabla ya kuja hao whites, nawakumbuka marafiki zangu waliofukiwa kwenye mashimo wakijificha ili wazungu waliolindwa na polisi wetu chini ya amri ya Mkapa wachukue sehemu hiyo walifukiwa ili kuwapisha wawekezaji hao kutoka mikononi mwa wachimbaji wadogo (wachimaji wadogo waliitwa wachimbaji haramu).

Nakukumbuka Hamisi Mgunga kama mmoja wa rafiki zangu waliofia kwenye hilo sakata. Tangu 1996 hadi leo 2020 hakuna barabara ya lami wala maji ya uhakika. Wana CCM kulisema hili mbele yao utaitwa si mzalendo na huungi mkono juhudi za mtu wa kwetu!

Kule Chato tangu mtu wetu akiwa ujenzi alipapendelea kwa barabara za lami, leo hii kuna taa za barabarani, kuna uwanja mkubwa wa ndege, kuna jengo la mahakama la kisasa kuliko hata lile la mkoa wa Geita, kuna maandalizi ya kujengwa hospital ya rufaa na sasa kuna mbuga ya wanyama (artificial game) wanyama wanahamishwa kupelekwa huko. Kutoka Nyakumbu Geita hadi Kakola (kitovu cha dhahabu) hakuna lami!

Kutoka Kakola hadi Kahama hakuna lami! Naamini hana habari na Bulyanhulu kwa sababu wanaotakiwa kumwambia wanamuogopa na ukimtajia Bulyanhulu moja kwa moja atawawazia mabeberu ACACIA ambao wameshaondoka tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu ungeisemea hiyo Bulyanhulu bila kutaja maeneo mengine kulikuwa na shida gani?
 
Mtu anawabeba simba na twiga kuwapeleka Chato bado mnamwita mzalendo.

Tanzania kuna hifadhi nyingi na nzuri, kabla hatujaanzisha hifadhi mpya ni bora tungetatua changamoto zilizopo kwenye hifadhi za awali.
Kwa maana hiyo tusizae watoto wengine mpaka tumalize changamoto zilizopo kwa watoto tulionao.
 
Naizungumzia Bulyanhulu ardhi iliyopendelewa na Mungu na ikasahaulika na watawala

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Nimefanya kazi pale KMCL nikiwa nimemaliza form six maisha yalikuwa matamu sana miaka hiyo 2003. Nilikuwa na rafk yangu mzungu kutoka Canada anapenda warembo wa tz tatizo language barrier. Nikaishia kuwa dalali wa wanawake na kuambulia kufundishwa pombe na sigara. Namshukuru Mungu nilikuja kuacha sigara tarehe 1/1/ 2016 nilipokuwa nahamia rasmi kwenye nyumba yangu.
 
Ebu ngoja nikae kwa hapa, labda nitaelewa badae baada ya comments kuongezeka.

Sawa, sote tunatambua sakata la yalio jiri Bulyanhulu kuanzia mwaka 1996. Sasa ndio ungesema nini unahisi hakikufanyika na nani alie sababisha?

Baada ya hapo ungependekeza nini unadhani kifanyike na unadhani ni jukumu la nani kutimiza hilo pendekezo lako?
Mkuu inaonekana kwenye somo la kiswahili kipengele cha ufahamu ulifeli sana aisee!Yote hayo aliyoandika muandishi hujaelewa mpaka usubiri comments za wadau?Akipewa mtoto wa shule ya msingi ajibu maswali kutokana na hicho kifungu cha habari hapo juu atapata Marks nyingi kuliko wewe!
 
Mtu anawabeba simba na twiga kuwapeleka Chato bado mnamwita mzalendo.

Tanzania kuna hifadhi nyingi na nzuri, kabla hatujaanzisha hifadhi mpya ni bora tungetatua changamoto zilizopo kwenye hifadhi za awali.
Hivi chato ni nchi jirani
 
Pitia comments zangu kwenye huu uzi, kisha ukuje uandike tena...
 
Hutaelewa sababu huijui dhahabu na hujui wenyeji inakotoka wanaishi katika mazingira gani

Sent using Jamii Forums mobile app

Hoja yako inamashiko, japo ulikosea kuchanganya na swala la maendeleo ya Chato.

Kama ulivyosema , JPM hajaanza leo kupeleka maendeleo huko chato.

Sasa km aliweza kujenga barabara akiwa mbunge na waziri je! Huoni kuwa yupo sahihi kufanya haya anayofanya kwa sasa?

Nyie watu wahuko (wasumbwa na wadakama) maana nikisema wasukuma nitawaonea wasukuma wote akiwemo na jpm.

Mbunge wenu ambaye huwa mnampa KURA miaka yte E.maige amekuwa waziri wa maliasili na utalii badala yakuhamisha wanyama kuwaleta hata kwenye milima ya segese na kanegele yy alipandisha twiga kupeleka nje ya nchi , mbona hamkumyima kula.

Akateuliwa tena kuwa waziri wa madini akawa anawafukuza kila sehemu mliyovumbua dhahabu! Leo wewe unasema kahama kunadhahabu nikwa sababu ya JPM alivyowaachia mpaka milima ya segese imekuwa km viwanja vya mpira. Mda huo huo huyo mbunge wenu bado anawatawala namwaka huu mtampa tena.

Mwacheni JPM aitengeneze chato, maana hajaanza leo.
Nyie wasukumwa wa huko pelekeni dada zenu wakauze pombe, na vyakula pamoja na kuachiwa matoto ya wachimbaji.

Huwezi kupanda mchongoma utegemee kuvuna dhabibu.
Lieni na mbunge wenu Ezekiel Maige.
Acha JPM atengeneze kwao, maana wasukuma tuko wengi ila tunajuana kwa P.O.BOX
 
Mtu anawabeba simba na twiga kuwapeleka Chato bado mnamwita mzalendo.

Tanzania kuna hifadhi nyingi na nzuri, kabla hatujaanzisha hifadhi mpya ni bora tungetatua changamoto zilizopo kwenye hifadhi za awali.
naskia wanyama hawa nao wanahamia Rwanda kwenye mbuga ambayo ni natural tofauti na hii ya chato!
 
Hoja yako inamashiko, japo ulikosea kuchanganya na swala la maendeleo ya Chato.

Kama ulivyosema , JPM hajaanza leo kupeleka maendeleo huko chato.

Sasa km aliweza kujenga barabara akiwa mbunge na waziri je! Huoni kuwa yupo sahihi kufanya haya anayofanya kwa sasa?

Nyie watu wahuko (wasumbwa na wadakama) maana nikisema wasukuma nitawaonea wasukuma wote akiwemo na jpm.

Mbunge wenu ambaye huwa mnampa KURA miaka yte E.maige amekuwa waziri wa maliasili na utalii badala yakuhamisha wanyama kuwaleta hata kwenye milima ya segese na kanegele yy alipandisha twiga kupeleka nje ya nchi , mbona hamkumyima kula.

Akateuliwa tena kuwa waziri wa madini akawa anawafukuza kila sehemu mliyovumbua dhahabu! Leo wewe unasema kahama kunadhahabu nikwa sababu ya JPM alivyowaachia mpaka milima ya segese imekuwa km viwanja vya mpira. Mda huo huo huyo mbunge wenu bado anawatawala namwaka huu mtampa tena.

Mwacheni JPM aitengeneze chato, maana hajaanza leo.
Nyie wasukumwa wa huko pelekeni dada zenu wakauze pombe, na vyakula pamoja na kuachiwa matoto ya wachimbaji.

Huwezi kupanda mchongoma utegemee kuvuna dhabibu.
Lieni na mbunge wenu Ezekiel Maige.
Acha JPM atengeneze kwao, maana wasukuma tuko wengi ila tunajuana kwa P.O.BOX
Acha kudaganya Maige hajawahi kuwa waziri wa madini
 
Ok, sawa hajawahi kuwa waziri wa madini! Lakini siamekuwa Naibu na waziri wa Maliasili na utalii.

Alishindwa nn kuhamisha wanyama kuwaleta kwenye poli tengefu la kanegere au milima ya ushetu.

Nyie wa sukuma wa huko tunawajua kazi zenu za asili nizipi!

Zahabu zenu wanatajirika wanyantuzu nyie nikupeleka dada zenu kuuza perege na kuachiwa matoto ya wachimbaji.

Muulizeni mbunge wenu hayo maswali, mwacheni JPM aitengeneze chato na tanzania kwa ujumla, na mm namuunga mkono kabisa kuwaacha muipate joto.
Maana mabaraza ya madiwani walikuwa wakipinga hyi bara bara kuwekwa lami eti watakoswa mafungu yakupiga pesa maana hyo barabara huwa inatengewa fungu na halmashauri madiwani wahuko wanamwambia Barrick anatengeneza harafu hilo fungu wanakula.

Tunajua kila kitu.
Kuhusu hizo shule za Bugarama, kakola, busulwa, iyenze, na soko la Bugarama . Tunajua zilivyopigwa pesa.

Mliambiwa hameni kakola mji upangwe! Mkajengewa kila kitu mpaka miundombinu ya maji lkn mlikataa.

Wenyeviti wa vitongoji na watendaji wa kata na vijiji wahuko walipiga hela sana kipindi hicho.

Hivyo mwacheni jpm ahamishe wanyama apeleke Buligi, acheni ajenge uwanja wa ndege, hosp, mabenki ajenge daraja la busisi, afufue usafili wa ziwa victoria nk. Angalau atubebe wasukuma.

Maana nyie hawa hawa asipofanya hivyo akiondoka mtaanza kuandika hum kuwa alifanya nini kwao.

JPM ni jiwe kuu la pembeni.
Tena nilitaka kukupa tusi nikakumbuka sheria za jf.
Tuliza matako, acha kabisa kumsema jpm.
Tuko uchumi wa kati ss hivi.
Hakuna cha covid-19.

Nendeni mkajipange kuchagua upya, bado mda mnao.
 
Aaaaaaaiiiiseee🤔🤔🤔🤔! Ulinsukuma osehemu ki ngalu?
 
Back
Top Bottom