Sista do niliyemwona leo mmmh!

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Leo katika zunguka yangu ile nimetoka mitaa ya maskani nikaamua kukamata basi chap chap kwani nilikuwa siendi mbali.. basi lilikuwa halina watu wengi nikakaa fresh kwenye kiti kilichokuwa karibu yangu.. kiti cha pembeni kulikuwa na bonge ya sista do,na alikuwa ametupia vitu vya ukweli amekaa amepakata i pad anabrowse na chupa ya maji mkononi.. baada kama ya dk 5 hivi sista do akajaribu kufungua ile chupa yake ya maji kisista do akaiona kama vile ni ngumu kidogo ... nikawa namwangalia ...bila ya kusita akaniomba nimfungulie na mimi bial ya hiana nikaifungua nikamrudishia....kituo kilichofuata nikashuka nikamwacha sista do wa watu akaendelea na safari zake.. nimempigia hii stori mwana wangu mmoja ananiambia ningechukau namba ya huyu sista du ila kiukweli jambo nililofanya la kutochukua namba na kuendelea na mambo yangu ndio naona ni uamuzi mzuri kwangu...vipi masista du wetu wa bongo? soda ya chupa wanafungua hadi na meno
hahah....nawapenda dada zetu wa kibongo na nawa miss
 
Kweli huku ni Chit-chat, kila kitu kipo bim-bam, hip-hop, chap-chap, krip-krap, piff-puff, etc.

Ila kiukweli Mt. Ivuga hapa sijaelewa kitu!
 
hahahha...kuna jukwaa la siasa kule nenda utaelewa
hii style ya pdidy sio laziam uellewe
 
Wewe ndo mshamba kweli, umeshindwa kuuliza hata namba ya simu sasa unalia huku utasaidiwaje. Nenda mitaa ya posta (bongo) ukaone vitu kule.
 
Leo katika zunguka yangu ile nimetoka mitaa ya maskani nikaamua kukamata basi chap chap kwani nilikuwa siendi mbali.. basi lilikuwa halina watu wengi nikakaa fresh kwenye kiti kilichokuwa karibu yangu.. kiti cha pembeni kulikuwa na bonge ya sista do,na alikuwa ametupia vitu vya ukweli amekaa amepakata i pad anabrowse na chupa ya maji mkononi.. baada kama ya dk 5 hivi sista do akajaribu kufungua ile chupa yake ya maji kisista do akaiona kama vile ni ngumu kidogo ... nikawa namwangalia ...bila ya kusita akaniomba nimfungulie na mimi bial ya hiana nikaifungua nikamrudishia....kituo kilichofuata nikashuka nikamwacha sista do wa watu akaendelea na safari zake.. nimempigia hii stori mwana wangu mmoja ananiambia ningechukau namba ya huyu sista du ila kiukweli jambo nililofanya la kutochukua namba na kuendelea na mambo yangu ndio naona ni uamuzi mzuri kwangu...vipi masista du wetu wa bongo? soda ya chupa wanafungua hadi na meno
hahah....nawapenda dada zetu wa kibongo na nawa miss
What a Crap
 
niende posta kivipi.. mtoto wa kidosi huyu...tangu lini mabbasi ya bongo watu wakaana kuingia na i pad?
 
yaani ivuga unatongozwa live live unashindwa kujipakulia, wengine Tunagairi kushuka na kuendelea na safari mpaka atakaposhuka susta dUU!!
 
Leo katika zunguka yangu ile nimetoka mitaa ya maskani nikaamua kukamata basi chap chap kwani nilikuwa siendi mbali.. basi lilikuwa halina watu wengi nikakaa fresh kwenye kiti kilichokuwa karibu yangu.. kiti cha pembeni kulikuwa na bonge ya sista do,na alikuwa ametupia vitu vya ukweli amekaa amepakata i pad anabrowse na chupa ya maji mkononi.. baada kama ya dk 5 hivi sista do akajaribu kufungua ile chupa yake ya maji kisista do akaiona kama vile ni ngumu kidogo ... nikawa namwangalia ...bila ya kusita akaniomba nimfungulie na mimi bial ya hiana nikaifungua nikamrudishia....kituo kilichofuata nikashuka nikamwacha sista do wa watu akaendelea na safari zake.. nimempigia hii stori mwana wangu mmoja ananiambia ningechukau namba ya huyu sista du ila kiukweli jambo nililofanya la kutochukua namba na kuendelea na mambo yangu ndio naona ni uamuzi mzuri kwangu...vipi masista du wetu wa bongo? soda ya chupa wanafungua hadi na meno
hahah....nawapenda dada zetu wa kibongo na nawa miss

MHH ST IVUGA MBONA LEO ...umeenda mrama babawatoto?
theme ya post ninin?

1.umepanda daladala na duu leo?
2.unajuta aukuchukua namba
3.unashangaa sista duu ata maji anaomba msaada wa kufungua?

iweje umewamisi masista duu jaman wakat unao mtaan ?
au upo ugaibuni ndo ukawamisi maduu wa bongo?
 
hahahahahahahahahaha..jina lako tena..yamefanana tu mkuu..mie nilikua mchoyo sana chuo..nikapewa hilo jina...ila nimependa lako pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom