Sisonje Foundation

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,204
18,543
Inategemewa kuzinduliwa mwaka 2026.

Itajikita kwenye upendo kwa jamii .

Itapigania elimu na kupinga vitendo viovu kama matumizi ya vyeti vya wengine kujipatia ajira.

Itatetea pia wanyonge na wanao Sema ukweli maana hao ndio wapenzi wa Mungu.
 
Pombe foundation
 
pamoja na sheria mbovu ya matumizi ya mitandao huyo Dr.wa maganda ya korosho atapata wakati mgumu kuliko hata mtangulizi wake
 
Back
Top Bottom