Sisimizi wengi sana nyumbani kwangu

Malungwana

Senior Member
Sep 14, 2013
187
99
Habari wana jamvi.
Naomba msaada kwenu,nyumbani kwangu kuna sisimizi wengi sana, nimejaribu kupulizia dawa,ila bado wanarudi tu, naomba msaada kwa yeyote anayejua dawa ya kuwaangamiza au suluhisho amabalo naweza kuchukua.
 
Back
Top Bottom