Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,819
- 40,320
Hakika Watanzania sisi tuna unafiki wa hali ya juu mno sijawahi kuuona popote duniani.
Wamepotea watu kimaajabu wanaokotwa Baharini na mitoni hatukuimba kwaya kulilia haya maovu.
Kapotea Ben kimya
Kapotea Azory kimya
Kapotea kanguye kimya
Akwilina kauwawa kimya
Lisu chupuchupu kuuwawa kimya
Ndioo kwanza tukaenda kuunga mkono juhudi.
Leo kijikorona kimetubip basi makelele TBC mpaka utadhani tuko kwenye msiba wa nyerere!
Sisi wanafiki Sana ndio maana Mungu habariki juhudi zetu .
Mpaka Leo kunawatu wanaumia kwanini Mungu kamponya Lisu Yani angekufa kabisa!!
Hiyo ndio Tanzania yenye wimbo wa taifa Mungu ibariki Tanzania!