Waacheni vijana wabet...mbona kodi mnapataTena kama ni vijana akili zetu zinawaza kubet tu
Waacheni vijana wabet...mbona kodi mnapataTena kama ni vijana akili zetu zinawaza kubet tu
Mdomo ni rahisi sana ila Vitendo sasa..Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
Nimelipa kodi! Au hujui Hilo. Ukishalipa kodi serikali makini inapanga vipaumbele ili kuwahudumia wananchi.Wewe umechangia nini kwenye hii nchi hadi leo?
Tatizo la watu wa nchi hii ni kulalamika tu bila kutoa suluhisho lolote lile na wote mnategemea mwingine ndo afanye. Tutaendelea kulalamikiana na kusubiriana hadi ukamilifu wa dahari.