MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,466
- 14,891
Halafu kweliTumia video call. Ndio suluhu ya tatizo hilo. Ukiona video call haipokelewi na visingizio vingi ujue hasara.
Tumia video call. Ndio suluhu ya tatizo hilo. Ukiona video call haipokelewi na visingizio vingi ujue hasara.
Unakuwa unamvunja moyo sana na kumtia hasira, ila anashindwa kukuchana tu.ndo maana nisipopokea Video call ya mchuchu anamind looooh
Sio vizur unavyomfanyia Mr mimachondo maana nisipopokea Video call ya mchuchu anamind looooh
Inatakiwa umnunulie bando la whatsapp pekee, ili asiwe na visingizio. Baada ya hapo fanya upembuzi yakinifu wa aina mbili kuu.
Sawa mkuuInatakiwa umnunulie bando la whatsapp pekee, ili asiwe na visingizio. Baada ya hapo fanya upembuzi yakinifu wa aina mbili kuu.
1. Passport size videocall.
2. Full body video call.
Sio mimi, nimecopy mahali.
Unakuwa unamvunja moyo sana na kumtia hasira, ila anashindwa kukuchana tu.
Sawa mkuu
Haiwezekani unarushiwa picha za rihanna, au Ariana grande unaenda kukutana na homo habilis
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu lipo humu jamiiforum kazi yake kuiba story za watu kwenda kuweka kwenye kpindi chake eti kuna mdau kanitumia mesej anaomba ushauri linaniuzigi sana
yess BiShoo haswaaAaa
"Diva acha kupanick." Alisikika mtu mmoja aliyejiedit akizungumza.
πSawa mkuu
Haiwezekani unarushiwa picha za rihanna, au Ariana grande unaenda kukutana na homo habilis
Sent using Jamii Forums mobile app
πππMwenye picha yake keshakuja.. Ndio huyo ka-coment juu yangu
Ni opinion tu hiyo wala haliniumizi LOL
Sawa dada yake diva"Diva acha kupanick." Alisikika mtu mmoja aliyejiedit akizungumza.