Utani gani huu kwa mke wa mtu ?
Hebu sikia mke wa mtu anavyotaniwa kwenye sms,"Umejaaliwa kweli, yaani mumeo anafaidi sana". Mwanamke anajibu "Mh! Una mambo wewe, au na wewe unataka?"
Hapo lazima utakuwa unataka kupewa tuuuuuuu…... Tuache jamani…….! Tutavunja........