Sisi wanaume Mungu atubariki sana

Sisi wanaume Mungu atubariki sana

Mkuu umenikumbusha niliwahi kuwa na girl anajua ku appreciate.
Alikuwa ananiomba pesa hata laki mbili nampa.
Kumbe anaenda kununua viwalo vyangu bwana zingine anatumia.
Aliniona nguo zangu pea 5 tu.
Basi siku ya birthday yake akani surprise na viwalo pea 8 mpyaa na akaniambia alivyokuwa ana make.
"Ukabila haufai wazee wake walimuozesha kinguvu kwa fogo la kabila lao huko."

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi sana mnakuwa busy kutuhudumia mpaka mnasahau na nyie mnahitaji kujijali!!
Kwa hilo kwa kweli mbarikiwe sana jamani
 
Wanaume wote mbarikiwe sana!
Mwanaume anaweza maliza miaka mitano hajanunua nguo mpya ila anahakikisha familia wanakula, watoto wanavaa, wanasoma na wana furaha muda wote!!

Mungu azidi kuwabariki!

[emoji1545]🤝 barikiwa zaidi dada
 
nakumbuka scenario kama iyo Nantumbula Lindi kudadeki, L.Cruiser mkonga ndani ya Tope la Moka
 
Sijui kwanini sina huruma kwa wanaume..Siwezi muonea mwanaume huruma.Imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho ila siku hizi wote tunakula kwa jasho na bado mwanamke anazaa kwa uchungu na mwanaume huyohuyo anamtelekeza...Wanaume hapanaaaa
 
Nimesoma hii thread mpaka nimeumia, Mungu awabariki mno wanaume wetu, tunaona efforts zenu vile mnapambana kwa ajili yetu.! Kuna ile namna Baba ama Mume ana sacrifice kwa ajili ya familia yake mpaka una appreciate,
Wakati mwingine tunawalipa madhila ila mnajitahidi tu kutuvumilia, endeleeni kuishi na sisi kwa akili huku tukichukuliana madhaifu yetu.!!
Kwaniaba yao umetupa faraja kitu nimefurahi nihapo kuishi nanyie kwaakiri ni andiko dogo lakini linaujumbe mzito hasa kwawanaopitia hali hiyo mungu akubariki upate mahali sahihi kama unapo papate baraka ili pafanane na ulivo
 
Mkuu umenikumbusha niliwahi kuwa na girl anajua ku appreciate.
Alikuwa ananiomba pesa hata laki mbili nampa.
Kumbe anaenda kununua viwalo vyangu bwana zingine anatumia.
Aliniona nguo zangu pea 5 tu.
Basi siku ya birthday yake akani surprise na viwalo pea 8 mpyaa na akaniambia alivyokuwa ana make.
"Ukabila haufai wazee wake walimuozesha kinguvu kwa fogo la kabila lao huko."

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah nampa salute tano za heshima
 
Sijui kwanini sina huruma kwa wanaume..Siwezi muonea mwanaume huruma.Imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho ila siku hizi wote tunakula kwa jasho na bado mwanamke anazaa kwa uchungu na mwanaume huyohuyo anamtelekeza...Wanaume hapanaaaa
miaka mingi mlikuwa watu kula raha shida yenu ilikua kwenye kuzaa na vikazi vidogo vya ndani ila mkaona mnadhurumiwa mkaenda kurichokonoa jinamisi mkomesha vielele kule china kwa kauli mbiu haki sawa sasa ndio mnachostahili hata sisi now days tumeacha kuwaonea huruma maana haiwezekani mtu unapambana mazingira magumu ili awalishe lakini bado anambiwa mnyanyasaji
 
Sijui kwanini sina huruma kwa wanaume..Siwezi muonea mwanaume huruma.Imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho ila siku hizi wote tunakula kwa jasho na bado mwanamke anazaa kwa uchungu na mwanaume huyohuyo anamtelekeza...Wanaume hapanaaaa
Japo tunafanya kazi wote uhalisia ni kwamba bado uchumi wa dunia unashikiliwa na wanaume. Nenda majeshi yote kama utakuta idadi sawa wanaume na wanawake. Pia appreciation ni kuonesha moyo mwema wa kujali si lazima.
 
Back
Top Bottom