Sisi Wanaume Bhanaaa

Hapo ni Iringa , moja ya njia ya kuelekea viwanja vya mwembetoga ambapo CDM na Magamba hupatumia kumwaga sera.
 
Nimempenda huyu dada anaonekana ni mjasiriamali wa ukweli
dogo naye kasimama badala ampokee mwiko amsaidie
kabaki anashangaa kiuno, mambo mengine yanaudhi kama nini vile.

052_05746.jpg
 
Nimempenda huyu dada anaonekana ni mjasiriamali wa ukweli
dogo naye kasimama badala ampokee mwiko amsaidie
kabaki anashangaa kiuno, mambo mengine yanaudhi kama nini vile.

Dada mjasiriamali na kijana mtathimini mali
 
Kiuhalisia kwenye mitaa yetu ya Kitz...Mama Lishe ndio huwa chakula ya vijana kama hao.
Wengi hushawishiwa kwa pesa ndogo tu na kufanywa nyumba ndogo.

anamhesabia tu amalize
kusonga huo ugali aanze kutia neno, ha ha ha haaaa
 
ndo maisha ya kwetu
sie akina mama ntilie sana tutafanyaje jamani
jua letu mvua yetu, lakini maisha yanasonga kiubishi ubishi hivyo hivyo.

Kiuhalisia kwenye mitaa yetu ya Kitz...Mama Lishe ndio huwa chakula ya vijana kama hao.
Wengi hushawishiwa kwa pesa ndogo tu na kufanywa nyumba ndogo.
 
Back
Top Bottom