Tumedanganywa sana na ahadi za CCM katika sekta yetu, tulihaidiwa mishahara inayoendana na maisha ya sasa, nyumba za kulala, kuboresha mazingira ya kufanyia kazi n.k.
Kwa muda wa miaka yote hiyo serikali ya CCM bado inawayawaya. Mbaya zaidi mnaleta Capitation katika shule zetu 90000 kila baada ya miezi minne tena shule hiyo iwe na idadi ya wanafunzi wasiopungua 600 chini ya idadi hiyo shule inaweza kupata 50000.
Katika pesa hiyo ya Capitation unapangiwa katika avifungu vinne;
1.Utawala
2.Ukarabati
3.Vifaa na
4.Mitihani
Kwa walimu wakuu wanapata shida sana kuziendesha shule hizo,hakuna madawati ya kutosha madarasani matokeo yake baadhi ya watoto wanakaa chini.
Kutokana na hali hiyo imetufanya sisi walimu kuichukia Serikali hii ya CCM kupita maelezo na tumejipanga vizuri kutoipigia kura CCM kwa ngazi zote za uongozi.
Maana sasa hatuna namna ni kutoipigia kura tu,kama tumeshindwa kupata mabadiliko ndani ya CCM tutayatafuta nnje ya CCM.