Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Labda ka ni mpira wa mkono...
CCM itashinda hata kwa goli la mkono: By katibu mwenezi
CCM itashinda hata kwa goli la mkono: By katibu mwenezi
Mmeongezewa mishahara mkuu Usijali.
Mishahara mipya ya mwezi wa saba hiyo hapo chini.
TGTS B/1 TSH.460,000/=
TGTS C/1 TSH.620,000/=
TGTS D/1 TSH.867,000/=
TGTS E/1 TSH.989,000/=
TGTS F/1 TSH 1,234,000/=
Kwa maelezo zaidi tembelea.
NB MUUNDO WA KADA YA UALIMU MSINGI UMEUHUISHWA KUTOKA B HADI G. www.pmoralg.go.tz