Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,528
12,622
Kwema wakuu?

Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.

Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.

Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.

Mfano last year ilikua Eid sijui ile yani hapa mtaani ilikuwa unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.

Tubadilike jamani.
 
Kwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake,ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko,ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Umesahau kwamba wenzetu pilau inapikwa siku ya sikukuu tu...alisikika mlevi fulani hivi

Sisi sikukuu hata ugali tunakula
 
Kyagata wee Kiagata mpaka dk hii umemkaribisha nani?
Usiwajumuishe wakristo wote kwenye uchoyo wako.

Najua mama angu kule home atapika na atawapakulia kina bibi Swabra na Mama Ostadhii… na wao Eid watamkaribisha bi mdashi.

Mimi sijakaribisha mtu sababu sina ratiba ya kupika, kesho kuna nyumba naenda kuvamia bila taarifa 😁
 
Kwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake,ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko,ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Changamoto ni kwamba huwa hawana imani na chakula cha waKristo. Mara huyo kuku alichinjwa na nani? Hivyo vyombo mara ya mwisho kusafishia pua na masikio ya "ng'ombe" ilikuwa lini? Mara sikukuu yenu haijulikani halafu weye ni kafiri! Unapeleka msosi ili usimangwe halafu kimwagwe? Bora kuwa "lichoyo" tu.😂😂😂😂
 
Kwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake,ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko,ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Unatqka kusema waoslam hawana mageti?
Yaani wanakaa uswahilini?
 
Back
Top Bottom