Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,681
Kwani ya cdm ni ya kuaminika? mgombea mwenyewe ni wa EUBaada ya kuuliza mwanachadema na mfanya kazi amekana, uwongo huo. Laa hawa jamaa kiwanda cha uwongo.
Kwani ya cdm ni ya kuaminika? mgombea mwenyewe ni wa EUBaada ya kuuliza mwanachadema na mfanya kazi amekana, uwongo huo. Laa hawa jamaa kiwanda cha uwongo.
Kwani ameshamaliza kikao na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma?
Mbinu za kuhujumu uchaguzi
Haishiwi vikao vya SIRI huyu Baba,kinachojadiliwa kingekuwa na manufaa chanya kwa Watanzania.Utakuta main agenda ni jinsi ya kumdhibiti Mh.Lissu wakitumia raslimali za nchi.
kwahiyo ni mwendo waNaam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Ni kweli ...imekufa..Kwa hiyo mna jambo lenu na konde boy siyo?Sasa nimeamini CCM imekufa yaani
Kwani alikuwa na kikao Cha maded Nchi nzima makubwaKwani ameshamaliza kikao na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma?
Mbinu za kuhujumu uchaguzi
Wahehe wasikie tu, watu fulani hivi wasiri, tabasamu usoni, ukweli moyoni na akili kumkichwa.Hawa tarehe 28 wanakutana kwa jambo lao
HATA huku same hivyohivyo usipoenda kazi hunaNaam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Siamini kama haya maneno yako ni ya kweli!Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Sura Chachu!!!Hii picha ni ya May Mosi 2018 IringaView attachment 1581689
Hari mbayaaHii picha ni ya May Mosi 2018 IringaView attachment 1581689
Hiyo ni fact siyo imaniNi kweli ...imekufa..
Amini hivyo hivyo...
Ni vizuri fact hiyo uitunzeHiyo ni fact siyo imani
Hari mbayaa
Kuna mtu atapangiwa kazi nyingine soon.Sura Chachu!!!
Baada Ya Kuambiwa Hakuna Lolote Kwenye Salary Scale
Lkn mambo haya ndo yanatakiwa yakemewe na tume,......na hapo ndo utajuwa kuwa tume na msajili wapo kudhibiti vyama vya upinzani, CCM hawaiwezi.Kwa hiyo mna jambo lenu na konde boy siyo?Sasa nimeamini CCM imekufa yaani
Na wawape chakula cha kutosha,Wamachinga wa Iringa msisahau kumdai jiwe hela zenu za vitambulisho.
Jiwe aliwatumia polisi kuwapigeni hela.
NEC ni CCM na CCM ni NECLkn mambo haya ndo yanatakiwa yakemewe na tume,......na hapo ndo utajuwa kuwa tume na msajili wapo kudhibiti vyama vya upinzani, CCM hawaiwezi.