Sisi wakazi wa manispaa ya Iringa tumeambiwa jumatatu hakuna kwenda makazini wala mashuleni bali tukutane Samora kuanzia saa mbili asubuhi

Mkutano wa Mgombea Urais mnamtangaza Kondeboy atakuwepo,yaani huyo ndiyo mgeni rasmi?CCM ya sasa imelegea hadi huruma.Bila kumtaja huyo Konde wenu watu hawahudhurii mkutano?
 
Kwani ameshamaliza kikao na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma?

Mbinu za kuhujumu uchaguzi
Haishiwi vikao vya SIRI huyu Baba,kinachojadiliwa kingekuwa na manufaa chanya kwa Watanzania.Utakuta main agenda ni jinsi ya kumdhibiti Mh.Lissu wakitumia raslimali za nchi.
 
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.

Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.

Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
kwahiyo ni mwendo wa
 
HATA huku same hivyohivyo usipoenda kazi huna
 
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.

Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.

Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Siamini kama haya maneno yako ni ya kweli!
Samahani, nje ya mada. Vipi ule MDAHALO akiwemo na Rais wa Ghana, ulifanyika?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom