Sisi sote ni ndugu, Adui ni CCM!

Sisi sote ni ndugu, Adui ni CCM!

Tutazungushana bure..., ni kipi nisichokielewa unachomaanisha, mbona nilikuelewa toka mwanzo! Ila hapa wewe ndie hukuelewa nilichoandika, na sio mara ya kwanza hili kujitokeza kwenye mada hii.
Lakini haya tuyaache, kwa sababu sioni tofauti kubwa kati ya unayoandika na ninayoandika mimi.
Tuko pamoja mkuu.
 
Back
Top Bottom