Aisee kama kawa maeneo yetu ila kabla sijaenda kiti kirefu nataka nihakikishe nammiliki mtu humu ndani bado ya hapo naenda kumlipia na kodi TRA kabisa
Hilo nalo neno
Japo najua umiliki wako ni short term contract

Hivi katika mahusiano nani anae poswa na kulipiwa mali?
Eh umenikumbusha swali la Bigirita: Kuwa
Mwanaume akiwa hajaoa anajulikana kwa Prefix ya Mr wakati Mwanamke anakuwa Miss
Mwanaume akioa anabaki na Prefix yake ya Mr wakati Mwanamke anahamia kwenye Prefix ya Mr na kuongezea s (Mrs)
Ndoa inapovunjika mwanaume anabakia the same Mr wakati mwanamke anaipoteza r na kubakiza Ms.
So maisha ya Mwanamke always yanarevolve around Mwanaume!!
Kifupi: Sina point tena hapo
Hiki ndicho kinanifanya nizidi kukupenda mjukuu wangu mtiifu..... Haya kuna mwingine kakuongezea mapointi hapa chini.Eh umenikumbusha swali la Bigirita: Kuwa
Mwanaume akiwa hajaoa anajulikana kwa Prefix ya Mr wakati Mwanamke anakuwa Miss
Mwanaume akioa anabaki na Prefix yake ya Mr wakati Mwanamke anahamia kwenye Prefix ya Mr na kuongezea s (Mrs)
Ndoa inapovunjika mwanaume anabakia the same Mr wakati mwanamke anaipoteza r na kubakiza Ms.
So maisha ya Mwanamke always yanarevolve around Mwanaume!!
Kifupi: Sina point tena hapo
Tena ODM waulize,mbona wanatoka kwao wanakuja kwetu?Halafu hata wakitaka kwenda kokote lazima nitoe ruksa!Tatizo hajiongezi!!
Inategemea na sehemu na sehemu. Some mwanamke analipiwa mahari. some mwanaume na some hakuna anayelipiwa hata ndururu.
na TRA wanapeleka muswada bngeni, maana serkali inakosa kodi nyingi kwnye mahari. Jiandaeni kulipa 20%
Na ndiyo fashion siyo kama mikataba ya madini au lease 99yrs!!!!Hilo nalo neno
Japo najua umiliki wako ni short term contract
Kwa kibongo bongo mwanaume analipiwa mali??
Mkuu umesomeka bila chenga, naenda kufuta comment ile kabla hawajaiona.Losambo acha kuwapa idea!
Hivi mahari ikipokelewa anakabidhiwa mwali au wazazi? Kama wanapewa wazazi maana yake ni kuwa wazazi "wameniuzia" umiliki wa binti yao. gadem! Mi sitapokea mahari ya binti zangu wallah!Inategemea na sehemu na sehemu. Some mwanamke analipiwa mahari. some mwanaume na some hakuna anayelipiwa hata ndururu.
Nafikiri sheria inaweza kupitishwa JK akiwa ameondoka madarakani maana huyu jamaa anaweza kufanya mambo ya ajabu ukakuta hata hizo asilimia 20 tunalipa sisi wenyeweHizo 20% zitawatoka wenyewe mifukoni mwenu, kama tunataka milioni 10 tutawadai 12 ili tumuachie JK chake cha 2 M