Sisi ndio wanaume bwana!

Bishanga nimesema point zako zingine hazina kitu coz umezungumzia mambo yanayofanywa na "wanaume suruali"na sio MWANAUME anaejua yeye ni MWANAUME kwa sababu gani,rudia ulichoandika na urudie alichoandika Aspirin,utagundua wote mmezungumzia watu wawili tofauti kabisa.Wewe umezungumzia mwanaume asiyejitambua na Aspirin amezungumzia MWANAUME anaejitambua!
 
hehehe huu mjadala moskwito na fellow tablet wako timu pinzani? acha nikae seat ya mbele aisee

Halaf lawyer nimeuchuna kwenye sredi ya bishanga na nitaendelea kuuchuna kwenye sredi hii pia. Kuchangia these two threads is very inversely propotional na maslahi ya PM.
(hapa mtaalam wa ma principles ya energy can neither be created MJ1 atakuwa ameelewa zaidi kuliko wengine)
 
Mkuu,according to Aspirin,kumkojoza mwanamke(pt 3),kutembea nje ya ndoa mradi uvae condom(pt 5) kwako ndo uanaume huo? Are you serious guys au mnafurahisha baraza.Can Aspirin print this thread na kumkabidhi mama matesha asome? For that matter can you?
 
Skulimeti - Thread of the YEAR!

Karibu: HACHA PUB - Boko Beach! - Upate Viceroy ya baridi - Gosh - Umeme Umekatika
 
unazungumzia wanaume wa miaka ipi? Hii ya sasa? Kama ni hii sidhani.
Wanaume wa siku hizi wanaolelewa na wanawake, mpaka hela ya boxer wapewe hawawezi kuwa taasisi inayojitegemea. Inachojua ni kulialia na kupangiwa nini ifanye nani azungumze naye nk
 
tofauti ya hizi zako na za bishanga ni kua bishanga amemtaja mwanaume wa ukweli aliyekamilika na anayejua nini afanye, anayejua wajibu wake kwa familia, zako zinamlenga mwanaume anayechipukia, ambaye bado anatafta nafasi yake kwenye familia/jamii inayomzunguka, anayesumbuliwa na kutokujiamini na kutojitambua.

Huo ni mtazamo wangu tu lakini!
 

Hahahaaaaaaaaa nilikua na uchovu naona umeisha kwa kuchekaaa,safi sanaaaa. Nitarudi tena
 
BadiliTabia,wala usihangaike nao hawa,embu waulize nani ana ubavu wa ku print hii thread na kumpelekea mkewe asome? Nani Aspirin?Baba Enock?Eiyer?Tata?Fidel?Kloro?nani? Subutu yao!
 
MWANAMUME au MWANAUME (vyovyote vile) HASIFIWI KULA, ANASIFIWA KAZI.
 

Mkuu, kama kweli mngekua mnayafanya haya mngestahili kujisifia haswaaa na sisi kama wanawake tungewapongeza sana tu bila hiyana. Unfortunately % kubwa sana ya wanawake wanalalamikia tabia zenu,inshort mnayoyasema na mnayoyatenda ni vitu viwili tofauti na ndio maana kwenye thread ya B tumekubaliana nae 100% kwa kuwa yale ndio wanaume wetu mnayoyafanya!!!!
 
ss ndo wanaume bana.....kwahiyo insecurity to a grown man znt beautful......hahahahahahaha!asprin thnks kwa hii makitu aseeeeeh!
 

Asante sana kwa kuwa mkweli......huyu Babu anataka kunifanya nirudi kwenye thread ya B nikaongeze point.
 

...dahhh, sasa Eiyer ...mimi kwa ufahamu wangu, tunda pekee unaloweza kula na kugundua upo uchi ni "tunda"...
wewe kama ukila tufaa, maembe na mananasi unajiona upo uchi ni sawa tu...ni mitizamo tofauti tu ya tafsiri.
...hilo la kujionea aibu...nadhani mwenyewe waweza pata jibu kwanini ukiwa mwenyewe huna haja ya kuuficha (ashakum si matusi) utupu wako.


...lol...comrade bana....sequestration of the the jury, au siyo?..hahahah!
 
Mwanaume ,hajisifii majukumu,mwanaume hakumbushwi majukumu ,mwanaume hakimbii majukumu,Mwanaume ndio msimamo wa imani ya familia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…