Sisi handsome boys tunakwama wapi?

Mi kila demu ntaemtongoza huwa anajibu " kwa jinsi ulivo huwezi kosa mpenzi" yaani nimejikuta tu fungu la kukosa na nshakata tamaa sitongozi mtu now, naeza kaa ata mwaka sina demu, nishazoeaha





ndugu name ctak tena kutongza
ova
 
Aiseee
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
 
Handsome boy wengi huwa wana amin kwa uzuri walio nao lazima watongozwe na wanawake,Hivo hujikuta wakiishia kushobokewa na wale madem wabovu au majimama.
Tatizo wao huwa wanafikiri handsome boy ni mwanaume mwenye sura nzuri kama ya kike handsome boy ni mwanaume aliyekaa kiume ndo wanawake wanapenda siyo mwanaume umefanana naye!!
 
Wadau wameogopa kuwaambia ukweli,, ni hivi hb hamjui kufanya, hamjui kusaka noti, hamjui kubembeleza mnaita romantic, hamna amsha amsha kiujumla hamshtui hisia za wanawake wengi
 
aysee hapa nmetoka kwa kazi mbovu yangu inanielewa kinouma ila na m naimanya kiouma maana hakuna ushindan
 
Hmm sasa kwani kuna shida gani sister?Mbona nyie mnajisifiaga ma beautiful...Alaf sio wote hulamba lips kwa mfano mimi hulamba papuchi tu bas.
Kajinga wewe[emoji1] , mwanaume anasifiwa pochi Nene basi, mnajisifia uzuri mtalelewa ohooo, wasalimie hapo Fas ya R, naprint nakuja huko dingilai
 
ukiwa hb tafta demu mzuri mdogo mdogo hawa wakubwa wanatukimbia sana
 
Mkuu hapo uliposema inayopelekea kupata wanawake wa hovyo wasio na direction umemaanisha nini..ufafanuzi wako ni muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…