Sisi handsome boys tunakwama wapi?

Warembo wanawaona kama vile wasichana wenzio, warembo ni wetu wa sura ngumu
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
 
Yaap, tatizo ni handsome BOYZ, wanawake hawataki BOYZ, wanataka a man who can pay bills, otherwise awe na ela ya baba, vinginevyo, atawaona kwenye star magazines tu.
Sijui niongeze sauti.
 
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Mi kila demu ntaemtongoza huwa anajibu " kwa jinsi ulivo huwezi kosa mpenzi" yaani nimejikuta tu fungu la kukosa na nshakata tamaa sitongozi mtu now, naeza kaa ata mwaka sina demu, nishazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…