Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Tofauti ni mashineWew uwe mzuri na mwanamke awe mzuri totauti iko wapi Kama mkitembea bara baran?
Handsome boy wengi huwa wana amin kwa uzuri walio nao lazima watongozwe na wanawake,Hivo hujikuta wakiishia kushobokewa na wale madem wabovu au majimama.
Tatuta hela... Achana na U Handsome..Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Kama ilivyo kwa mwanamke mzuri ukiwa nae ni kasheshe anaweza kuwa cha ote(sio wote) basi ndo hivyo pia kwa upande mwingine jinsi wanawake wenye hekima na busara wanavyowachukulia wanaume wazuri kua vya wote( sio wote) .
Na hiyo ndio sababu inayopelekea kupata wanawake wa hovyo wasio na directions.. Ila kuwa na subira utapata perfect match wako utafurahia maisha..
Me unajisifia wewe handsome hakuna kitu hapoNashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
hahahhaah mwanangu uko sahihi sanaHandsome boy wengi huwa wana amin kwa uzuri walio nao lazima watongozwe na wanawake,Hivo hujikuta wakiishia kushobokewa na wale madem wabovu au majimama.