muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,117
- 4,807
Maisha yangu ya sasa hayana furaha kabisa kuna wakati nawaza mbona Mungu anakawia kuiharibu hii dunia?
Heri mwisho wa dunia uje.
Sioni furaha ya maisha wala dhumuni la kuishi
Nakaa nawaza waza tu juu ya kifo
Nipo kama sipo
Nina kazi
Ninaishi nyumba nzuri
Sina magonjwa yanayonisumbua
Nina mshahara
Sina maisha magumu
Lakini sina raha kabisa ya maisha
Kweli duniani hakuna raha kabisa
Nikiwafikiria ndugu zangu naumia sana
Where is happiness?
Furaha iko wapi hapa duniani nikaitafute?
Heri mwisho wa dunia uje.
Sioni furaha ya maisha wala dhumuni la kuishi
Nakaa nawaza waza tu juu ya kifo
Nipo kama sipo
Nina kazi
Ninaishi nyumba nzuri
Sina magonjwa yanayonisumbua
Nina mshahara
Sina maisha magumu
Lakini sina raha kabisa ya maisha
Kweli duniani hakuna raha kabisa
Nikiwafikiria ndugu zangu naumia sana
Where is happiness?
Furaha iko wapi hapa duniani nikaitafute?