Sishituki tena habari za kifo najihisi kufa hivi karibuni

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,075
4,696
Maisha yangu ya sasa hayana furaha kabisa kuna wakati nawaza mbona Mungu anakawia kuiharibu hii dunia?
Heri mwisho wa dunia uje.

Sioni furaha ya maisha wala dhumuni la kuishi

Nakaa nawaza waza tu juu ya kifo

Nipo kama sipo

Nina kazi

Ninaishi nyumba nzuri

Sina magonjwa yanayonisumbua

Nina mshahara

Sina maisha magumu

Lakini sina raha kabisa ya maisha

Kweli duniani hakuna raha kabisa

Nikiwafikiria ndugu zangu naumia sana

Where is happiness?

Furaha iko wapi hapa duniani nikaitafute?
 
Ni halali u-loose hope kwa sababu umejiwekea dhana ya kufikirika iwe ndio faraja kwako

Chanzo cha kukosa furaha kinatokana na utumwa wa fikra.

Ondoa dhana ya Mungu akilini mwako, hiyo ndio inayokutesa kwas ababu unafikiria kuwa kuna moto sijui madeiwaka wa Mungu watakupa adhabu ya kaburi nk
 
Hata kuvuta tu oxgen Ni raha Sana,,
Kina Mkwawa waliishi mapangoni na walikuwa na furaha kedekede
 
Ni halali u-loose hope kwasababu umejiwekea dhana ya kufikirika iwe ndio faraja kwako

Ondoa dhana ya Mungu akilini mwako, hiyo ndio inayokutesa kwasababu unafikiria kua kuna moto sijui madeiwaka wa Mungu watakupa adhabu ya kaburi nk
Hilo ndo tatizo kubwa.
 
Pole sana !

Hiyo ni Depression.
Tafuta washauri wa mambo ya msongo wa mawazo wakupe mwongozo.

Kwa kipindi ambacho utakuwa hujawapata jaribu kuepuka kukaa mwenyewe..tembelea marafiki, ndugu na jamaa.

NB. Sonona (depression) ni ugonjwa wa akili hauhusiani na utajiri au umaskini wa mtu.
 
Sina uhakika wa kula Leo. Yani nipo apeche alolo alafu sitamani kufa hata kidogo.
.....
 
Kama umekata tamaa ni sawa tu, wengine watakushauri namna ya kurudi kwa mstari. Mimi nakukumbusha kunawa mikono mara kwa mara na kuchukua taadhari nyingine tunazoshauriwa usisambae corona kwa wasiokata tamaa. Hilo tu!
 
Mathayo 11:29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata RAHA nafsini mwenu;

kuwa na YESU ni raha tosha ,ingia kwa YESU tu naweza kusema ni solution
 
Mathayo 11:29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata RAHA nafsini mwenu;

kuwa na YESU ni raha tosha ,ingia kwa YESU tu naweza kusema ni solution
Raha iko mbinguni kwa Mungu baba

hakuna raha duniani
 
Kufa ww mwenyewe ndo huna furaha usijumuishe dunia nzima,

Wengine tunaenjoi maisha ya duniani raha sana under JPM, kesho nitakupa njia rahis ya kufa bila kutoa jasho
 
Mkuu kwa lolote unalopitia Mungu akukumbuke katika ufalme wake akumulikie nuru ya uso wake....unapendwa mkuu

am better here
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom