Sishauri mtu kusoma PhD OUT

Hata udsm tawi la Duce,nina Kaka yangu ana mwaka wa tatu anazinguana na Dr......japo yeye anasoma Masters lakini upuuzi uliopo bora ulime matikiti tu maana amepotezewa muda sana..... Supervisors wa vyuo vyetu hasa kwenye research department ni miungu watu,wana upuuzi mwingi sana.Pole sana mkuu
 
Shida inakuwaga ni nini? Wanataka kibunda au wanataka na wewe upitie shida walizopitia
 
Elimu ya bongo kukomoana
Uko sahihi, nakumbuka Dr Kadeghe alikuwa anafundisha COMMUNICATION SKILLS UDSM,kwake wanafunzi wengi kufail ndiyo alikuwa anaona sifa fala yule,unakutana Prof Mukandala kwenye course yake anakwambia only 60% will pass this course,40% Supplementary and 20% will carry this course,halafu huyo ndiyo alikuwa VC..........
 
Aisee!
 
Hata UDSM labda hujui vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…