DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,686
- 81,676
Sasa tukianza kutaja product za Udsm na Mzumbe si itakuwa balaaa,,,ngoja niishie hapa ila Out wanaenda watu waoga wa kusoma,,,hivi huko watu wanadisco?maaana sijawahi kusikia
Mimi nina watu nawafahamu,,niliwauliza kwa nn wameenda kusoma OPEN,,jibu lilikuwa ni rahisi kutoboa kuliko vyuo vyingineMtafute mtu anaitwa Prof Colneria Muganda huyu amefundisha Open na ndo alinipa Mwanga na kuanza kuelewa kuwa OPEN kilaza hapawezi
Mara kadhaa huku kwenye makundi sogozi ya OUT nimekuwa nikiwapa za uso kwa watumishi wake kukosa weledi, hawana customer care kabisa.
Halafu wanakera sana tabia yao ya kutoa matokeo nusu nusu, kwa mfano ikiwa hawaja kuwekea matokeo ya somo moja utasota sana hadi kuja kuwekewa, ukiwajulisha wahusika hawatatui kwa wakati mara wasipokee simu, na hata ukiwacheki WhatsApp utaishia kuchezea blue tick tu.
Kinachochekesha zaidi kwamba wewe ambaye hujawekewa matokeo ndio uwape taarifa ya 'missing results' wao wenyewe sijui hawana mifumo ya kutambua au vipi...!! Wanachofanya hakiakisi maana ya CHUO HURIA, matarajio yangu ilikuwa kuona chuo hiki kinakuwa mstari wa mbele kiteknolojia lakini bado wapo analoji.
OUT mnachosha.!!
Mh. Mwendazake ndiyo yaliyomkuta.
Taasisi kama hiyo ya "Chuo Kikuu Huria Tz" na nyingine za serikali ni majanga yani.
Watu wanajikuta sana utadhani walilazimishwa kuomba hizo nafasi za kazi.
Nilitaka nimshauri hivi hivi mkono mtupu haulambwi. Sikuhizi hadi kwenye misiba kuna rushwa. Mc anapewa rushwa ilimradi aseme natambua uwepo wa Adverse effect. Hasa hasa wanasiasa.
Huyo supervisor unonaje tuka mlogea busha?
Yaani ngozi nyeusi ovyo sana...
Pole sana mdau! Machungu uliyo nayo NDIYO yaliyonipata! Mimi nilimaliza miaka mitano bila kufanya presentation ya proposal. Yaani unatuma proposal kwenye email jamaa hajibu chochote! Unapiga simu weee lakini wapi! Mwisho nikaamua kuapply chuo kingine, Ada niliyolipa pale kama M3.5 ikaenda bure kabisa! Kwa Sasa nasoma chuo kingine vizuri kabisa hapa hapa TZ! Kile chuo hakina mfumo wa kumonitor masupervisor! Wanapuyanga tu kama wanavyojisikia! NI AIBU SANA KWA CHUO KIKUBWA KAMA KILE KUSHINDWA KUWASIMAMIA WAAJIRIWA WAKE WAFANYE KAZI WALIYOANJIRIWA KUFANYA.
Wanatafuta u profesa hao ilaIla Masters wako active sana
kwa usalama wa mwili na akili waachie ada ukaombe chuo kingine kama
lakini tujikumbushe haya kwa mwanafunzi anayesoma Phd chuo bora na chenye mifumo safi ya technology
mwanafunzi anafatiliwa kabisa hatua kwa hatua kuhusu thesis yake au dissertation yake
mwalimu nae anafatiliwa zaidi kuona kuwa wanafunzi wake wanakamilisha kwa wakati dissertation zao
uongozi wa chuo unafatilia kila hatua na kama mwanafunzi anaonekana kuchelewa unaulizwa sababu nini upo pale kukamilisha ndoto zake na sio kufeli ndio maana mwl akiona unafeli anakurekebisha hizi ndio hatua muhimu kabisa kwa vyuo bora duniani nafikiri kwa afrika hakuna
basi tuyaache hayo acha kusoma hapo omba vyuo hivi nmezipanga kwa mpangilio
ila kama una nafasi omba za ulaya
- ESAMI Home • ESAMI
- The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST)
- UDSM
- UDOM
- SAUT
Mimi sijui nipoje,,ila nawoana wanaoenda kusoma OPEN UNIVERSITY HAWANA AKILI,,,wameogopa kwenda Udsm au mzumbe kuogopa kufeli
Supervisor akiona kazi yako haina jipya ni AI 75%, copy and paste 85%, haina mchango kwa chuo wala Taifa; hakika atakufanyia hayo yote. Kwa UDSM ungeshadisco; bora OUT wanakuvumilia