Sirudii tena

Vp na wewe ulimtumia picha zako za hiv test?
No, my status nilikua naifahamu . Huwa napima more often....na nilikua sijarisk Toka mara ya mwisho kucheck hali yangu
 
We ni dereva wa STL, nlikuona pale.
 
Mengi tuliongea nae, nimefupisha. Kulikua na evidence nyingi hakuwa na Ngoma na ndo maana nilijilipua
Hivi unawezaje kukutana na mwanamke humjui alafu unatembea nae peku, kama unajali future yako usipoteze mda wako kupima wewe tumia condom kiusahii alafu Tena bar maid

Mwanamke huna future naye Kuna haja gani ya kupima si kupoteza mda
 

Nyege zina kinyaa?!
 
Duh we jamaa noma sana unawezaje kumwamini mwanamke kwa nadharia, yan mtu anakutumia picha ya hiv test alafu unaamini! Hivi kama iyo picha ameipakua mahala na kuwahadaa wanaume wanaokuja apo bar utajuaje mkuu dah kwel nyege mbaya sana. Alafu kuhusu kupima ilitakiwa baada ya miezi mitatu ndio uchek kwa mwezi mmoja ni mapema sana.
 
Mpk sas kwa umri huu nilio nayo sijawi kupatwa na magonjwa tajwa hapo juu
Namshukuru mungu

Siyo kwamba sichakati kavu napiga ila kwa taadhari kubwa
 
Ukimwi hukosi ikipita miezi 6 hujaharisha na ukiona umeharisha na mnyeo haujatudi pahala kwake umekwisha Mana unatakiwa uharishe na Malinda yarudi kibana Kama kawa yakiwa hakuna kurudi usiisahau hiyo lodge na huyo bint
 
Kwa vipimo vya sasa ni wiki kadhaa tu mkuu kama unao damu lazima isome chanya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…