Kuangalia mpira na
Wanawake.
Wana maswali.....
>Mbona hawa Brazil
hawamchezeshi Neymar ??
:aliumia mechi iliyopita, hawezi
kucheza
>mbona hawajamkodi MESSI??
:hairuhusiwi kukodi..
>kwann asihamie Brazili?,..
:izo sio nyumba za kupanga
kwamba anahamia tu,mpaka uwe
una uraia wa Nchi yako.
>mbona hadi wanawake
wanacheza umo uwanjani?
:wapo wapi hao wanawake
>sihawo wa Brazil wenye nywele
ndefu?
:hapana hawo ni Wanaume,mmoja
anaitwa David Luiz,na huyo
mwingine WILLIUM
>Mbona hao wengine wanapiga
Penalty tano wenyewe?eti Refa
anapendelea?
:hakuna Penalty hapo ni
magoli,Brazil wamezidiwa
wanafungwa..
>Eti mbona Goli 7 ni nyingi na ni
Dk ya 80, kwann refa hamalizii tu
hapo si bingwa alishajulikana.
::sheria ya mpira mpaka Dk 90
zitimie..
>Huu si mpira wa miguu??
::Ndio we,nyie mnaonaje?
>mbona huyo mwingine anadaka
na mikono?
:huyo ni kipa
>kwann huyu Kipa wa Brazil
asikimbie na mpira adi goli
jingine alafu afunge apunguze
magoli au hajui huo ujanja?
Aaaaaaa jamani
Mbona hao wachezaji huhangaikia mpira,SI KILA MTU APEWE WAKE?charminglady said:Haki huko ni mbulula square.
Mbona hao wachezaji huhangaikia mpira,SI KILA MTU APEWE WAKE?
Kwani waarabu wakicheza fainali wanavaaga jezi ama kanzu?
nimekumith pia mwaya..........sasa final tunaenda kuangalia wapi......tukaishangilie german...?
Kwani waarabu wakicheza fainali wanavaaga jezi ama kanzu?
Kuangalia mpira na wanawake wana maswali,
>Mbona hawa Brazil hawamchezeshi Neymar ?
:aliumia mechi iliyopita, hawezi kucheza
>mbona hawajamkodi MESSI?
:hairuhusiwi kukodi..
>Kwann asihamie Brazili?
:izo sio nyumba za kupanga kwamba anahamia tu,mpaka uwe una uraia wa nchi yako.
>Mbona hadi wanawake wanacheza umo uwanjani?
:wapo wapi hao wanawake
>Si hao wa Brazil wenye nywele ndefu?
:hapana hao ni wanaume, mmoja anaitwa David Luiz,na huyo mwingine WILLIUM
>Mbona hao wengine wanapiga penalty tano wenyewe? eti refa anapendelea?
:hakuna penalty hapo ni magoli, Brazil wamezidiwa wanafungwa..
>Eti mbona goli 7 ni nyingi na ni dk ya 80, kwanini refa hamalizii tu hapo si bingwa alishajulikana.
::sheria ya mpira mpaka Dk 90 zitimie.
>Huu si mpira wa miguu?
::Ndio we, nyie mnaonaje?
>Mbona huyo mwingine anadaka na mikono?
:huyo ni kipa
>Kwanini huyu kipa wa Brazil asikimbie na mpira adi goli jingine alafu afunge apunguze magoli au hajui huo ujanja?
Aaaaaaa jamani