Sirudii tena kuangalia mpira na wanawake

Sirudii tena kuangalia mpira na wanawake

CHIEF MP

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,559
Reaction score
680
Kuangalia mpira na wanawake wana maswali,

>Mbona hawa Brazil hawamchezeshi Neymar ?

:aliumia mechi iliyopita, hawezi kucheza

>mbona hawajamkodi MESSI?

:hairuhusiwi kukodi..

>Kwann asihamie Brazili?

:izo sio nyumba za kupanga kwamba anahamia tu,mpaka uwe una uraia wa nchi yako.

>Mbona hadi wanawake wanacheza umo uwanjani?

:wapo wapi hao wanawake

>Si hao wa Brazil wenye nywele ndefu?

:hapana hao ni wanaume, mmoja anaitwa David Luiz,na huyo mwingine WILLIUM

>Mbona hao wengine wanapiga penalty tano wenyewe? eti refa anapendelea?

:hakuna penalty hapo ni magoli, Brazil wamezidiwa wanafungwa..

>Eti mbona goli 7 ni nyingi na ni dk ya 80, kwanini refa hamalizii tu hapo si bingwa alishajulikana.

::sheria ya mpira mpaka Dk 90 zitimie.

>Huu si mpira wa miguu?

::Ndio we, nyie mnaonaje?

>Mbona huyo mwingine anadaka na mikono?

:huyo ni kipa

>Kwanini huyu kipa wa Brazil asikimbie na mpira adi goli jingine alafu afunge apunguze magoli au hajui huo ujanja?

Aaaaaaa jamani
 
huyo mwanamke ni wa kijiji kipi? maana mimi wachezaji wengine Lara 1 ndio huwa ananitajia majina tukiangalia mpira pamoja, mama mimi wengine siwajui.
 
ah mbavu zanguuuuuuuuuuuuuu,,,,, ngoja nilale sasa.
 
Duhhhh yaani huyo do ni chenga kabisa hata kwa dstv ni chenga tupu¡-
 
huyo mwanamke ni wa kijiji kipi? maana mimi wachezaji wengine Lara 1 ndio huwa ananitajia majina tukiangalia mpira pamoja, mama mimi wengine siwajui.

wanawke kama Lara 1 wapo wangapi Matola?!!
 
Back
Top Bottom