Sirudii kushika simu ya mwanaume

Ndio maana tunaweka password ngumu kama sura ya naibu spkr ili kulinda furaha zenu.
 
Ndio maana tunaweka password ngumu kama sura ya naibu spkr ili kulinda furaha zenu.

Siku moja utajisahau tu kama yeye alijiona mkamilifu kumbe technologia ikamuumbua
 
Dah maneno ni mazito siwezi hata yarufia kuyaandika hapa nimebaki nabimbuwazi tu.......nyie wanaume nyie

Si akikuomba papuchi unamwambia umechoka? Haya kila la heri........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…