Haya yalikuwaje?Nilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
Pole sana. Sasa umekua. Songa mbeleNilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena



ndiyo ukome sasa.Nilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
Wote hatuko hivyo. Mimi niko poa kabisa.Dah maneno ni mazito siwezi hata yarufia kuyaandika hapa nimebaki nabimbuwazi tu.......nyie wanaume nyie
Mmmh basi hata mie Swahiba?Najaribu kutaka kuelewa lakini sioni mwanzo pakuanzia....nimekuzwa bila kutarajia
Afana aleyk..!!Ndowalewale