Sirudi tena Jukwaa la Siasa

Kule tunaenda wabishi tu, watatukana wee nawe unakomaa tu. Nyie walaini walaini kina heaven on earth, Bujibuji, Sista humu panawafaa kama ambavyo tayari pameshawafaa haha. Dada angu Jawilat twendage....
 
Nimeshakuja naona leo mnamjadili warioba.
Kule tunaenda wabishi tu, watatukana wee nawe unakomaa tu. Nyie walaini walaini kina heaven on earth, Bujibuji, Sista humu panawafaa kama ambavyo tayari pameshawafaa haha. Dada angu Jawilat twendage....
 
LB7 ni watu wa hovyo kabisa..wanakupeleka kwenye kona ambayo utakasirika na utukane au useme kitu uvunje sheria za JF...kule kuna watu wako kazini sio ninyi huku mnaenjoy kuwa hapa kule watu wanalipwa kwa hii kazi ya kufitinisha wenzao

porojo tupu.....! mmeshindwa hoja mnaleta viroja..! mburura mkubwa we...!
 
Naona wameshaanza kuingia na kaunda suti zao.
 
Jamani watu wa siasa tafadhali msituchafulie jukwaa letu, mrudi kule kule kwa akina ZeMarcopolo huku huwa hatutukanani.
 
Last edited by a moderator:
Sina hamu....
Yaani visiku vihache tu jukwaani nikakutana na kiziba mdomo.
Ni ku like tu ndiko walikoniachia. Hamna kukoment wala kuanzisha thread.
Bora nijirudie zangu kwenye jukwaa la Mtambuzi niendelee kula minofu ya mbuzi kama kawaida.

Aah wapi wewe lazima utarudi tu kule. Ukishaathirika na siasa huwezi kuziacha eti kwa sababu tu kuna watu wanataka kukuziba mdomo.
 

My brother nilijua utamtaja wii wangu mambo ya ku hug hapo halafu naona unamtaja Sista Mhhhhhhh

mie kule nakujaga kwa kubipu ila nadhani sa hivi nakuja kupiga kambi ya muda mrefu kule
ila na wewe unajiweza nilikuona ile siku kwenye thresd ya Helcopter LOL
 
Last edited by a moderator:
Jana nilianzisha thread ilivyo chomolewa wala hamu sina, bora huku huku MMU.

I love you MMU.
 
Sina hamu....
Yaani visiku vihache tu jukwaani nikakutana na kiziba mdomo.
Ni ku like tu ndiko walikoniachia. Hamna kukoment wala kuanzisha thread.
Bora nijirudie zangu kwenye jukwaa la Mtambuzi niendelee kula minofu ya mbuzi kama kawaida.


Bujibuji habari yako bhana! U mzima? Mi sijambo wa afya njema!

Ni nini kimekusibu tena rafiki yangu kule jukwaa letu? Pole Mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…