Sirudi tena Jukwaa la Siasa

Hahahahhaa nshakula BAN mbili but aaaagh naona ngozi imekomaa sasa hata haichuniki.....natwanga kotekote
 
Jukwaa lakutembelea ni kule kwa Chef,Sport na Entertainment,kwenye udaku kule kwa ma-celebrity,chit chat..yani kwa ujumla tembelea majukwaa yote lakini sio siasa..maana hapafai hata kidogo.Kule palikuwa pazuri wakati wa sekeseke la Kapuya ambapo hata mimi nilichangia na kupata likes kadhaa.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mkuu mara ya kwanza kuingia jukwaa la siasa Ritz alinifanya nikaigwa ban la siku 30...Ila kuna watu wanakera kama akina lizabon,mingoi,simiyu yetu,Lukosi na wengine wengi dah yan kero tupu ila tunakomaa nao tu!

Hahahaha, pole hao dawa yao ni kuwapa za mbavu, na unaongezea kile kilugha cha wakoloni kidogo, kwa msisitizo hapo unakuwa umewafunga mdomo hawatajibu chochote nawe utaendelea kupeta
 


Hamia Jukwaa la Great Thinkers
 
Bujibuji tatizo uliondoka kwa mbwembwe lakini ukasahau kuwaomba makazi wenyeji wa huko...
 
Last edited by a moderator:
usiombe ukutane na choo ya lumumba. A.K.A. MSALANI
anajamba kitu kinanuka kama km tano hivi
 
Last edited by a moderator:
Yaani bora mtu upigwe ban usiingie kabisa JF kuliko kuzuiwa ku comment. Inauma sana. Yaani ni sawa na ulale na mkeo kitanda kimoja wote mkiwa watupu halafu akunyime tunda. Pole sana Bujibuji
wanawake walioolewa kumbe hulala na matunda,, ila hujafafanua ni pera, embe, pashen au chungwa.
 
Last edited by a moderator:
Mbona michango yako ni mizuri tu karibu kila jukwaa? Ni jinga gani hilo lilikuzinguwa?

hahahaa mie huwa wanifurahisha sana.....kuna li jinga fulani hivi lakin nitakuja tu huko

najua hata wakinizingua you will be there
 
Bujibuji welcome back home sweet home
 
Last edited by a moderator:
kule tumezoea sisi,lugha zetu ni kama hizi "weka picha,Acha kuleta UCCM hapa,M4C yapamba moto Geita,Kinana weka mbali na Tembo,Chopa za CHADEMA bei gani,Zitto kutoa tamko,Mwigulu Nchemba aapa kuiua CHADEMA,n.k"kama huwezi kupambana uataishia kupanick mwishowe unapata ban!
 
Ha ha haaaaaa Heaven on Earth na Sista mkija kule muwe mnasema mshikwe.mkono jamani kule watu wamechefukwa na roho ila wengine sie bila kuparutana kule usingizi hauji then unakuja huku ku hug na kina Sista unajipatia kaharufu ka kulalia huyooooo kumbonji!!!!!!

Ila njooni kule seriously kuna shule na discussion za ukweli sana the best weapon ni kujua perspective ya maoni yako ili usiyumbishwe baada ya muda mbona unakomaa tu yeyote alimradi una yard stick!!!!!!!

Halafu we Sista wewe masuala ya kuniambia nikutumie nauli halafu wiki nzima hauko hewani maana yake nini?????!!!!!Ngoja nikakuwekee uzi kule jukwaa la siasa ndio utajua mjini ni nguvu kazi ama nguvu ya akili!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…