Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Hahahaha, swali la nyongeza, mbona serikali inayosema inapambana na wauza dawa za kulevya haijamkamata Mbowe?Ongezea na swali jingine
Kwa nini Mbowe anauza madawa ya kulevya??
Hahahaha, swali la nyongeza, mbona serikali inayosema inapambana na wauza dawa za kulevya haijamkamata Mbowe?Ongezea na swali jingine
Kwa nini Mbowe anauza madawa ya kulevya??
Siku ya kupimwa alitumia colgate na Chumvi ,ngada hazikuonekanaHahahaha, swali la nyongeza, mbona serikali inayosema inapambana na wauza dawa za kulevya haijamkamata Mbowe?
Kwahiyo serikali inayoongozwa na ccm imeshindwa kuwasaka Lissu na Masha?Watekaji ni Tundu Lisu na Masha na washakimbia Mji wako Morogoro sasa hivi!
Ongezea na swali jingine
Kwa nini Mbowe anauza madawa ya kulevya??
Siku ya kupimwa alitumia colgate na Chumvi ,ngada hazikuonekana
Ndomana mbowe unamuita anko wewe!Mama yako ni m t a-mu
Kaka unavitisho..... Mtoto wa watu kakimbia hata haonekani.... Acha hizo bana.!Mtu mzma ovyo na miaka yako 40+ ,naweza kutoa siri zako mpaka picha yako na jina lako halisi ujulikane ww ni nan
Kwani Bashite yuko kitengo cha madawa ya kulevya siku hizi?? Si ni kazi yavKamisha aliyeteuliwa, au mie ndo redio sisikizi mda wote??Awajibishwe ili muuze madawa ya kulevya vizuri??
We nae ***** hilo swali kamuulize baasha wakoOngezea na swali jingine
Kwa nini Mbowe anauza madawa ya kulevya??
Hahaha mbona umemkimbia shushushu uanikweAwajibishwe ili muuze madawa ya kulevya vizuri??
Bashite hahusiki na vita ya dawa za kulevya. Yeye anahusika na dili za wauza dawa. Alisikia kamisheni inaundwa ku-deal nao akaamua alisanue mapema ili wafiche ushahidi hau maswahiba wake...Awajibishwe ili muuze madawa ya kulevya vizuri??
Ushahidi WA Mbowe kuuza madawa ni uzezeta wa wafuasi wa chama chakeBashite hahusiki na vita ya dawa za kulevya. Yeye anahusika na dili za wauza dawa. Alisikia kamisheni inaundwa ku-deal nao akaamua alisanue mapema ili wafiche ushahidi hau maswahiba wake...
Ulimboka alisema sana na tena sana. Hata kabla hajapona alihojiwa na alielezea yote. Lakini haikuwa na faida yoyote kwa nchi yenye watu waoga kama yetu kwani huwa wanasikiliza kama tamthilia ya hadithi ya kufurahisha.Inategemea.
Wanaweza kuwa "wameombwa" wasiseme.
Nakumbuka hata Dr. Ulimboka hakusema SANA baada ya kupona.
Ulimboka alielezea kila kitu. Wewe ulitaka aelezee nini zaidi? Na angeelezea ungemsaidieje wakati watanzania hguwa tunaangalia matukio haya kama sinema ya kupendeza?Hii picha kama ya ulimboka mpaka leo Hujawahi kuitisha press conference japo aliahidi... Hivyo hivyo na Roma hataitisha press conference.... Kama unabisha utakuja kuniambia mkuu.... Kitendo cha Roma kuongea na wana habari ujue mkeka wote hadharani
Ushahid uko wapi..muuza madawa anajilikana mbona hamumkamatiOngezea na swali jingine
Kwa nini Mbowe anauza madawa ya kulevya??
Wewe jamaa sio mzima kichwani.Watekaji ni Tundu Lisu na Masha na washakimbia Mji wako Morogoro sasa hivi!
Wapumbavu hawajifichi, utawajuwa tu !!Ongezea na swali jingine
Kwa nini Mbowe anauza madawa ya kulevya??